Agenda1
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 1,692
- 3,420
Poleni na majukumu wakuu,
Rejea kichwa cha habari, kuna ndugu yangu anahaha kweli kweli akitafuta visa ili aweze kuvuka border kuelekea nchi za Scandinavia.
Kimsingi yeye anadai kwamba haioni kesho yake ikiimarika ktk nchi hii hasa kwa miaka 7 ijayo.
Sasa basi, agewise huyu ndugu anachezea around 33, na anafamilia pia.
Binafsi nimekuwa nikimshauri kuwa kwa age hiyo jumlisha familia its too late for him ukizingatia hana connection ya uhakika.
Sasa wadau, kwa kigezo cha umri nauliza huyu mdau bado yuko ktk 'ryt tirak' ama amechelewa?