Mbowe kunyang'anywa Bilicanas na NHC mwezi huu

Ebale

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
942
Reaction score
1,683
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu amesema mmiliki wa jengo la Club ya Bilicanas, Freeman Mbowe ni miongoni mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo waliopewa notisi inayoishia mwezi huu.

Akizungumza ofisini kwake Dar es Salaam, Mchechu amesema Mbowe anadaiwa malimbikizo ya kodi.

Hata hivyo amesema suala hilo halina uhusiano na siasa za Ukuta kwani mbali na Mbowe zipo taasisi na watu binafsi wanaodaiwa.

“ Zipo pia taasisi za serikali zikiwemo wizara na idara ambazo mwezi zitatimuliwa kwenye majengo wanayotumia.”

Chanzo: Mwananchi
 
**Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu amesema mmiliki wa jengo la Club ya Bilicanas, Freeman Mbowe ni miongoni mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo waliopewa notisi inayoishia mwezi huu.

Chanzo mwananchi
 
Baada ya Tangazo hili la NHC, litafuatia la TRA kudai kodi, Then NSSF kudai Michango ya Wafanyakazi, Then Osha, then Jiji kufuta kibali cha Night Club, then Msajili wa Magazeti kulifuta gazeti, then, then, then...mwisho wa siku mtasikia tangazo la kusitisha maandamano na mikutano nchi nzima! ,baada ya hakuna lolote atakalofanywa, life just as usual!.

Pasco
 
Wengine ni kina nani? Hajakatwa mshahara tu?
 
Baada ya Tangazo hili la NHC, litafuatia la TRA kudai kodi, Then NSSF kudai Michango ya Wafanyakazi, Then Osha, then Jiji kufuta kibali cha Night Club, then Msajili wa Magazeti kulifuta gazeti, then, then, then...mwisho wa siku mtasikia tangazo la kusitisha maandamano na mikutano nchi nzima! ,baada ya hakuna lolote atakalofanywa, life just as usual!.

Pasco

Nikijua Bills jengo lilikuwa la baba mzazi wa Mbowe
 
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu amesema mmiliki wa jengo la Club ya Bilicanas, Freeman Mbowe ni miongoni mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo waliopewa notisi inayoishia mwezi huu.

Akizungumza ofisini kwake Dar es Salaam, Mchechu amesema Mbowe anadaiwa malimbikizo ya kodi.

Hata hivyo amesema suala hilo halina uhusiano na siasa za Ukuta kwani mbali na Mbowe zipo taasisi na watu binafsi wanaodaiwa.

“ Zipo pia taasisi za serikali zikiwemo wizara na idara ambazo mwezi zitatimuliwa kwenye majengo wanayotumia.”

Chanzo: Mwananchi
SEMA NA NA HIZO TAASSISI ZINGINE.TUONE UWIANO
 
Baada ya Tangazo hili la NHC, litafuatia la TRA kudai kodi, Then NSSF kudai Michango ya Wafanyakazi, Then Osha, then Jiji kufuta kibali cha Night Club, then Msajili wa Magazeti kulifuta gazeti, then, then, then...mwisho wa siku mtasikia tangazo la kusitisha maandamano na mikutano nchi nzima! ,baada ya hakuna lolote atakalofanywa, life just as usual!.

Pasco
Ukweli ni lazima usemwe ukikosea na hivi vituo vya mafuta vipo barabarani viondolewe
 
No wonder wakiguswa wakwepa kodi mapovu yanawatoka.

Mikutano ya siasa kupigwa stop kumechangia jamaa kushindwa kulipa maanake ile michango isiyokuwa na taarifa ya mapato na matumizi inayokusanywa kwenye mikutano ndiyo huishia kwenye biashara kama hizi.

Na wasiishie kumnyang'anya tu,ALIPE!!

Na kwa katiba za wenzetu ukikutwa na kosa la kukwepa kodi maanake umepoteza sifa ya kugombea urais wa nchi maisha yako yote.
 
Baada ya Tangazo hili la NHC, litafuatia la TRA kudai kodi, Then NSSF kudai Michango ya Wafanyakazi, Then Osha, then Jiji kufuta kibali cha Night Club, then Msajili wa Magazeti kulifuta gazeti, then, then, then...mwisho wa siku mtasikia tangazo la kusitisha maandamano na mikutano nchi nzima! ,baada ya hakuna lolote atakalofanywa, life just as usual!.

Pasco
Umeandika kama unafurahia vile!!!
 
Back
Top Bottom