Ni kifaa gani kilichotumika kupima ramani ya Dunia?

Ni kifaa gani kilichotumika kupima ramani ya Dunia?

CHIEF JJ

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,075
Reaction score
358
Hbari

Naomba kuuliza ni kifaa gani kilichotumika kupima Ramani ya Dunia? na Je huyo mpimaji alisimama wapi?

Mwenye kuelewa please
 
Nazani picha zilipigwa kwa kugumia satellite then kupitia hizo picha ndo wakachora hio ramani ya dunia
 
Back
Top Bottom