UJASILIAMALI NA KUJITEGEMEA KWA KIJANA MKRISTO.
Ujasiliamali ni uwezo wa kuitambua fursa na kuitumia.
FAIDA ZA UJASILIAMALI
1: Kuishi maisha bila kumtegemea mtu mwingine.(Yaani ajira ya...
Hii habari nimeelezwa na mama ninaefanya nae kazi. Huyu mama ni mpiganaji haswa wa maisha. Mume alimuacha na kuoa spring chicken. Sasa nyumbani yeye ndiyo baba na mama.
Alipata safari ya kwenda...
Samahani,
Ni mgeni sijawahi kufika Songea na natarajia kwenda huko wiki ijayo,naomba kufahamishwa ni basi gani zuri kwenda huko kwa ndugu zangu wangoni?
Natoka Dar es salaam.
Natanguliza shukurani.
Anaejua kuishi huenda na muda na hufuata ratiba yake ya msingi,lkn anaejifunza kuishi muda kwake si kitu cha mantiki ni bendera kifuata upepo!.
anaejua kuishi starehe kwake ni kwa kiasi lkn...
Hivi ni nani alie sema mwezi wa ramadhani watu wasizini na mwezi miezi mingine watu wazinii?maana wazinifu wote mwezi huu huacha kuzini.na je mtu aƙizini siku moja katika mwezi wa ramaɗhani...
Yani haiwezekani halotel mnatupunguzia wanafunzi wa chuo MB.. Bila kupunguza kiwango cha pesa... Hii ni hatari Sana wakuu. Leo nimeivunja lain ya halotel.
Askofu mkuu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania aliyesimikwa leo mjini Dodoma Dr Mndolwa ameahidi kushirikiana kikamilifu na serikali katika kuitunza amani. Ibada ya kumsimika Askofu Mndolwa...
Habari za jumatatu tulivu isiyo na mvua
Katika kazi zangu za kupita pita huku mtaani nilikutana na hiki kitu ila nikashindwa kukuelewa jinsi ya kutumia achilia mbali kuuliza tu nisije nikaaibika...
Nimesoma kisa kimoja leo kutoka katika Gazeti la Mwananchi la leo ukurasa wa 3 chenye kichwa cha habari 'Deni la sh 600,000 lazuia maiti ya kichanga kutolewa Muhimbili' kilichoandikwa na Mwandishi...
Nyuki wamechachamaa, Nyuki wameshacharuka,
Hasira kama kichaa, kichwani zimewashika,
Hawana cha msamaha, zamu yao imefika,
Nyuki wamechachamaa, Kingo wamekasirika!
Hawa nyuki wa asali...
Wanajamvi.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam haishiwi vijimambo. Huyu ni miongoni mwa wakuu wa mikoa wasiojua hata kazi zake.
Kabla ya kuanza kwa zoezi la kutafta baba waliotelekeza watoto hapo...
Moto unakuja sasa! Usiposimama kwenye pundamilia kukiona cha mtema kuni. Iwe mjini ama porini ni lazima dereva usimamishe gari kwenye kivuko cha waenda kwa miguu popote pale nchi nzima.
Maana...
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Famasia katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), amekutwa amekufa chumbani.
Taarifa kutoka chuoni hapo zinasema mwili wa...
Naomba kujua iwapo Wamasai hawaugui malaria. Nauliza hili kutokana na kuwaona walinzi wengi wa Kimasai wakiwa katika mavazi yao ya kiutamaduni ambayo huwaacha wakiwa na sehemu kubwa mwilini...
Habari wadau,
Rejea kichwa cha thread kama kinavyojieleza,
Mwezi wa sita kuna kazi ya ujenzi nategemea kuianza pale Geita, kwa kuwa mimi si mzoefu sana maeneo ya Kanda ya Ziwa, ningependa...
MOROGORO: Mwalimu awapa adhabu ya kuzibua vyoo bila kuvaa 'gloves' Wanafunzi wa Kike wa Shule ya Sekondari Sua
Mwalimu huyo alichukua hatua hiyo baada ya kubaini vyoo vya shule hiyo vimeziba...
Wataalamu wa miamba kutoka Tanzania (GST) wamegundua madini ya chuma shaba, fedha, zinki, dhahabu na 'cobalt' katika Hifadhi ya Taifa ya Selous.
Mwanajiolojia Solomon Maswi amesema, uchimbaji...
Naweza kusema hii ni miongoni mwa Idara ambazo Rais Magufuli anastahili
Pongezi kwa jinsi alivyoweza kuinyoosha.
Kwa waliowahi kufuatilia passport au huduma yoyote pale Uhamiaji awamu
zilizopita...