Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wasalaam wakuu Hili ni jambo ambalo hunifanya nifikirie sana pindi nisomapo, nisikilizapo na kutazama taarifa mbalimbali za habari juu ya matukio kadha wa kadha yanayowakumba wanadamu...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mfumo wa sasa wa kuletewa bili na kulipa kupitia simu ni rahisi hauna usumbufu. Tena ukiwa na app ya DAWASCO unacheki mwenyewe bill yako na kulipa hapohapo ulipo. Kisa cha kubadili huu mfumo ni...
1 Reactions
4 Replies
12K Views
Angalizo muhimu: Sina panya nyumbani kwangu! Wakuu, Naamini wengi tunazifahamu harakati za Panya majumbani mwetu so naomba leo tuliangalie suala hili kwa pamoja.. Ni hivi.. Katika story mbili...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Taasisi ya haki za kibinadamu(LHRC) imetangaza Anna Henga kama mkurugenzi mpya akipokea mikoba mkurugenzi wake wa muda mrefu, Dr. Helen Kijo-Bisimba, uteuzi unaotarajiwa kuanza July 1. Uteuzi wa...
2 Reactions
62 Replies
14K Views
Waliofariki ni baba, Chrispin Senga (40) mama, Salome Chaulinge (31) na mtoto wao Paulina Senga (2). Sumbawanga. Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Mtaani kuna shida sana. Kuna baadhi ya wanaume huku mtaani unaona anaingiza mkono wake sehemu za siri halafu anaanza kujikuna na kujisukutua taaaratibu huku akifumba macho na kubetua mdomo wake...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Naongea kwa masikitiko makubwa labda ndugu zangu ambao hamko kwenye hii kazi ndo mnatema povu hamjui chochote kuhusu utendaji wa jeshi la polisi Tanzania,kwanza mjue hii nchi imechukuluwa na chama...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wapendwa , Najua wengi kupitia Jf wamesaidiwa sana, Tafadhari kwa yeyote alowahi kufika Ikungi- Singida, Nielekezeni jinsi ya kufika Miandi secondary, na sehemu ilipo. Asante sana naamini ntasaidiwa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkazi wa Mtaa wa Shede wilayani Nyamagana mkoani hapa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumnywesha mkojo mtoto wake wa kambo mwenye miaka tisa (jina linahifadhiwa) ikiwa ni adhabu ya...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Asubuhi hii (29 May, 2018) WAPO Radio wamesoma taarifa za magazetini kwamba "Benki sasa kushindana kushusha riba" kama vile ni neema kwa umma! Jambo ambalo si kweli, kwasababu kiini cha habari ni...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ukingalia A.Kinana mpaka jana anajiuzulu ameonyesha kukubalika pande zote mbili, Upinzani na Chama tawala, kila mtu anamwagia sifa za uhodari na uchapa kazi uliotukuka, sijawahi kushuhudia hapa TZ...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
TUKIO HILI LIMETOKEA KARIBU NA HOSPITALI YA CHAKE-CHAKE MKOA WA KUSINI PEMBA. Baada ya kuwapata watu wao waliodaiwa kuwa wakinuka pombe za kienyeji na kula mchana, waliwatembeza maeneo kadhaa ya...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Ajali mbaya limetokea Eneo la Tazara. Treni imeligonga Gari ya Mzigo na kusababisha kifo cha Dereva wa Gari ilo. Ajali hiyo imetokea muda wa saa 7:42 jioni ya leo
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Jana Jumapili ilikuwa siku ya kazi kwa sisi wengine. Niliamua kupanda basi kwa usumbufu wa parking na si kuwa na safari nyingine zaidi ya kazi na kurudi nyumbani. Kituoni nilikaa na mama mmoja...
9 Reactions
39 Replies
5K Views
Watu wasiojulikana wamemchinja boda boda(Asecdo) ikiwa ni mwendelezo wa mauaji yanayoendelea. Boda Boda wapatao watano waishauawa katika maeneo tofauti katika Manispaa ya Bukoba na kuleta...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu mimi nina tatizo moja linanisumbua,nimeunganishwa kwenye huduma ya tigo app bila kutaka. Kila wiki ninakatwa 500,nimejaribu kuwapigia tigo huduma kwa wateja majibu wanayonipa hayanisaidii...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Victoria Salvatory (58), mkazi wa kata ya Katoma, Kagera anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mumewe, Salvatory Iteganira (62) kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Na, Robert Heriel. (upepo unavuma nje ya ukumbi na kelele kutoka chumba cha giza zinasikika) "Nilikaa porini miaka ishirini na nane kukuwinda wewe paka. kipindi nakuwinda Wapo waliokuwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Huko Katoma Bukoba mwanamke amemuua mumewe kwa kumpiga na nyundo kichwani leo. Inasemekana wanandoa hao walikuwa na ugomvi wa hapa na pale. Source clouds habari. ===== Bukoba. Victoria...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Kwa wadau wa Tanzanite,je ukuta kuzunguka machimbo ya Tanzanite umepunguza ulanguzi na kuongeza pato la Serikali?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…