figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,122
- 64,403
Ajali mbaya limetokea Eneo la Tazara. Treni imeligonga Gari ya Mzigo na kusababisha kifo cha Dereva wa Gari ilo. Ajali hiyo imetokea muda wa saa 7:42 jioni ya leo
Saa 7:42 jioni! Ndiyo mida gani ndugu?!Ajali mbaya limetokea Eneo la Tazara. Treni imeligonga Gari ya Mzigo na kusababisha kifo cha Dereva wa Gari ilo. Ajali hiyo imetokea muda wa saa 7:42 jioni ya leo
Ajali mbaya limetokea Eneo la Tazara. Treni imeligonga Gari ya Mzigo na kusababisha kifo cha Dereva wa Gari ilo. Ajali hiyo imetokea muda wa saa 7:42 jioni ya leo
Inawezekana kama watu wa signal walizembea kutoa taadhari inakua siyo kosa la dereva wa loriHaijawahi kutokea treni likagonga gari,labda km treni ilitoka kwny njia yake na kulifuata hilo lori!!
Yani hapo, labda iwe mtu wa signal hakutoa tahadhari na treni haikupga honi yaani ilipita kimya kimya kitu ambacho ni ngumu kutokea vyote kwa wakati mmoja! Pia sheria inakutaka dereva ukitaka ku-cross reli usimame kwanza, je,dereva wa lori alifanya hvyo?!au alipita kwa mazoea km madereva wengi tufanyavyo?!Inawezekana kama watu wa signal walizembea kutoa taadhari inakua siyo kosa la dereva wa lori
Roli = Lorikichwa kinasema Roli limegonga treni, habari inasema treni imegonga roli!
Before "Roli" after Lori. head master namcorrect mwanafunzi mwenye sredi na wewe second master unanicorrect mimi! Hivi ulikuwa wapi my assistant. Na kwanini uchelewe kwanza[emoji38].Roli = Lori