Msaada kwa watumiaji wa mtandao wa Tigo

Msaada kwa watumiaji wa mtandao wa Tigo

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
455
Reaction score
878
Wakuu mimi nina tatizo moja linanisumbua,nimeunganishwa kwenye huduma ya tigo app bila kutaka.

Kila wiki ninakatwa 500,nimejaribu kuwapigia tigo huduma kwa wateja majibu wanayonipa hayanisaidii.

Wanasema nitume neno ONDOA kwenda 15025 lakini kila nikijaribu kutuma iyo txt inagoma.Mwanzo nilifikiri labda salio ndio tatizo lakini nina 1000 bado iyo message aiendi.

Msaada jamani,mwezi sasa nakatwa 500 kila wiki.
 
Tupa hiyo line, mitandao iko mingi
 
Ndio maana mimi hua sinunui vocha, nanunua airtime tena kwa kujiunga kabisa kwenye bando kwa kutumia electronic, yaani kama ni voda basi mpesa, tigo kwa tigo pesa na airtel nao hivyo hivyo; nafanya hivyo ili nisije jikuta nakatwa pesa ambazo hazikuwepo kwenye plan ya kuzigawa bure. But all in all, airtel is cheap to operate with them
 
Watishie kuwa utawashitaki kudai fidia, kuwa unaanza kuwasiliana na wakili wako. Ukiwatishia na wakili tu wanakutoa. Wakibisha mpe wakili hata buku 10000 awaandikie barua ya kisheria kusitisha huo ungese wao na watakulipa hiyo fidia pia uliyomlipa wakili. Jifunzeni kufanya mambo kisasa. Pambana na moto. Kwa moto. Haya makampuni msipoangalia yatawaacha na mifupa. Ukifanikiwa tupe mrejesho. Kila la kheri.
 
Mkuu, buku 10,000 ni 10,000,000/-

Au ulimaanisha buku 10? [emoji3]
 
Back
Top Bottom