Mnatulaumu sisi Polisi bure tu

Mnatulaumu sisi Polisi bure tu

Narumu yetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
2,448
Reaction score
5,146
Naongea kwa masikitiko makubwa labda ndugu zangu ambao hamko kwenye hii kazi ndo mnatema povu hamjui chochote kuhusu utendaji wa jeshi la polisi Tanzania,kwanza mjue hii nchi imechukuluwa na chama cha mapinduzi(CCM) ikiongozwa na mheshimiwa Dr. John Magufuli sisi kama jeshi hatuwezi kupingana na chama chenye madaraka sisi ni binadamu kama nyinyi na tuna matatizo si kidogo ila tusameheni tunatenda kwa ajili ya aliyeshika nchi hata NCCR mkishika nchi tutawaheshimu kama CCM pls tusameheni watanzania wenzetu najua mna mengi mnahitaji toka hii Serikali msipopata msilaumu hili jeshi.
 
Nyie fuateni orders ila siku ya mwisho anayewatuma hatakua na nguvu ya kuwatetea. Fear God
 
Hawatakuelewa comrade, sana sana utaambiwa ugomee amri za wakuu wako,
 
Kweli kila mtu ni muoga sana tena sana mbele ya wenye madaraka. Mfano mdogo ni hizi ID zetu fake humu jamvini. Hatupendi lkn tunalazimika kuwa fake
 
Hiyo avatar umeambiwa uiweke hapo na wakubwa wako wa kazi? nasikia hadi kadi za CCM mnazo.
 
Bilioni 49 zinatoka kama mshahara kila mwezi Kwa wizara ya mvaa matambara shingoni..unajiskiaje unapo muonea mtanzania anae kulipa mshahara eti unafuata order ya Chikungunya, wengi wenu hata hamjasoma GPO Na Sheria ilio anzisha jeshi lenu, so sad!
 
Naongea kwa masikitiko makubwa labda ndugu zangu ambao hamko kwenye hii kazi ndo mnatema povu hamjui chochote kuhusu utendaji wa jeshi la polisi Tanzania,kwanza mjue hii nchi imechukuluwa na chama cha mapinduzi(CCM) ikiongozwa na mheshimiwa Dr. John Magufuli sisi kama jeshi hatuwezi kupingana na chama chenye madaraka sisi ni binadamu kama nyinyi na tuna matatizo si kidogo ila tusameheni tunatenda kwa ajili ya aliyeshika nchi hata NCCR mkishika nchi tutawaheshimu kama CCM pls tusameheni watanzania wenzetu najua mna mengi mnahitaji toka hii Serikali msipopata msilaumu hili jeshi.
mtarimbo wewe ni Polisi au ni Polisi jamii?
Ni kawaida sana kwa sungusungu Na mgambo kujiita Jwtz au Polisi
 
Naongea kwa masikitiko makubwa labda ndugu zangu ambao hamko kwenye hii kazi ndo mnatema povu hamjui chochote kuhusu utendaji wa jeshi la polisi Tanzania,kwanza mjue hii nchi imechukuluwa na chama cha mapinduzi(CCM) ikiongozwa na mheshimiwa Dr. John Magufuli sisi kama jeshi hatuwezi kupingana na chama chenye madaraka sisi ni binadamu kama nyinyi na tuna matatizo si kidogo ila tusameheni tunatenda kwa ajili ya aliyeshika nchi hata NCCR mkishika nchi tutawaheshimu kama CCM pls tusameheni watanzania wenzetu najua mna mengi mnahitaji toka hii Serikali msipopata msilaumu hili jeshi.
Km mnapelekeshwa na chama fulani kwasbb imeshika nchi nyie siyo jeshi la polisi bali ni tawi dogo la ccm.
Jeshi la polisi halitakiwi kufungamana na tawi lolote lile la chama au kiongozi (raisi) sbb linajitegemea kama lenyewe
Majeshi ya polisi Africa huwa siyaamini hata kidogo. Polisi wa Africa hawajielewi yaani wapo wapo. Mm mpaka kesho kutwa huwa siamini jeshi lolote lile la nchi ya Africa sbb bado wapo kwenye utumwa wa viongozi wao.
N:B
Jeshi la polisi kazi yake ni kusimamia sheria na kulinda usalama wa raia.
 
Naongea kwa masikitiko makubwa labda ndugu zangu ambao hamko kwenye hii kazi ndo mnatema povu hamjui chochote kuhusu utendaji wa jeshi la polisi Tanzania,kwanza mjue hii nchi imechukuluwa na chama cha mapinduzi(CCM) ikiongozwa na mheshimiwa Dr. John Magufuli sisi kama jeshi hatuwezi kupingana na chama chenye madaraka sisi ni binadamu kama nyinyi na tuna matatizo si kidogo ila tusameheni tunatenda kwa ajili ya aliyeshika nchi hata NCCR mkishika nchi tutawaheshimu kama CCM pls tusameheni watanzania wenzetu najua mna mengi mnahitaji toka hii Serikali msipopata msilaumu hili jeshi.
Mhhh mbona hueleweki.
 
Kelele za "Mfuga bata"

Wafuga bata siwapendi Mimi nikawaona na hao ma uniform yao
 
Kwani kupiga risasi za moto ni lazima? Wote mkikataa kufanya hivyo mtafukuzwa wote? Jiongezeni bhan
 
Sasa afande hata kutusakizia makosa ya barabarani nako mnatumwa?
 
Chama chenu kimewatuma mtunyakue kwa kosa linastahili kutolewa faini kisheria! Kweli mna kazi ngumu
 
Back
Top Bottom