Nina mtoto wangu anakojorea sehemu ya chini ya uume sijui wanaita haipospadia.
Nimetafuta daktari wa kumtibu kuanzia kituo cha afya, wilayani hadi mkoani ila hamna huyo daktari wanasema hadi...
Shirika linalosimamia bomba la mafuta kutoka Dara es Salaam Tanzania hadi Zambia - TAZAMA limetoa gawio la shilingi 681 milioni kwa serikali ya Tanzania ikiwa ni theluthi moja (1/3) ya gawio lote...
Mugabe Ryoba(23) aliyeolewa Nyumbantobu katika kijiji cha Merenga wilayani hapa Mkoa wa Mara ameuawa kwa kukatwa na sime na mpenzi wake, Nchama Nchama(26) kutokana na wivu wa mapenzi...
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kakonko, mkoani Kigoma , Mejo Banikira (43) amekutwa amejinyonga chumbani kwake kwa kutumia taulo yake.
Hayo yamebainishwa leo Mei 29 na Mkuu wa Wilaya ya...
Alexander Ndeki (Mzungu) wengi wetu tuliofanikiwa kuwa TS kipindi chake (1978 - 1986) tunamkumbuka huyu baba kwa mengi aliyotutendea hadi leo tukaitwa wana wa nchi.Basi tusimame...
Muuguzi Mkuu wa Zahanati ya Kijiji na Kata ya Nyakasungwa, Wilayani Sengerema, Mwanza, Grace Mashauri (50) amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake.Grace alikuwa ni mtumishi pekee aliyekuwa...
Nimebaharika kufika baadhi ya miji mbalimbali duniani, ikiwamo baadhi ya miji africa na Tanzania karibu yote! Kitu nachoona ni tofauti kabisa na sisi, ni jinsi wenzetu wanavyothamini suala zima la...
Habari za leo ndg wanaJF? Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu kimoja kilichopo kanda ya ziwa.
Ninasoma mwaka wa tatu na nipo semester ya mwisho. Ninafahamu sheria na taratibu za hapa ndio maana...
Habari wakuu,
Katika maisha mambo mengi tunakutana nayo ili maisha yazidi kusonga mbele na tunajitahidi mno tuongee ukweli ili hayo mambo tupishane nayo au twende nayo sambamba, lakini...
Singida, Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, awapongeza Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), mkoani Singida kwa kusimamia vizuri fedha za miradi na kuokoa zaidi ya bilioni 30 na kuelekeza...
Wasalaam wakuu
Hili ni jambo ambalo hunifanya nifikirie sana pindi nisomapo, nisikilizapo na kutazama taarifa mbalimbali za habari juu ya matukio kadha wa kadha yanayowakumba wanadamu...
Mfumo wa sasa wa kuletewa bili na kulipa kupitia simu ni rahisi hauna usumbufu.
Tena ukiwa na app ya DAWASCO unacheki mwenyewe bill yako na kulipa hapohapo ulipo.
Kisa cha kubadili huu mfumo ni...
Angalizo muhimu: Sina panya nyumbani kwangu!
Wakuu,
Naamini wengi tunazifahamu harakati za Panya majumbani mwetu so naomba leo tuliangalie suala hili kwa pamoja..
Ni hivi.. Katika story mbili...
Taasisi ya haki za kibinadamu(LHRC) imetangaza Anna Henga kama mkurugenzi mpya akipokea mikoba mkurugenzi wake wa muda mrefu, Dr. Helen Kijo-Bisimba, uteuzi unaotarajiwa kuanza July 1.
Uteuzi wa...
Waliofariki ni baba, Chrispin Senga (40) mama, Salome Chaulinge (31) na mtoto wao Paulina Senga (2).
Sumbawanga. Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha...
Mtaani kuna shida sana.
Kuna baadhi ya wanaume huku mtaani unaona anaingiza mkono wake sehemu za siri halafu anaanza kujikuna na kujisukutua taaaratibu huku akifumba macho na kubetua mdomo wake...
Naongea kwa masikitiko makubwa labda ndugu zangu ambao hamko kwenye hii kazi ndo mnatema povu hamjui chochote kuhusu utendaji wa jeshi la polisi Tanzania,kwanza mjue hii nchi imechukuluwa na chama...
Wapendwa ,
Najua wengi kupitia Jf wamesaidiwa sana,
Tafadhari kwa yeyote alowahi kufika Ikungi- Singida,
Nielekezeni jinsi ya kufika Miandi secondary, na sehemu ilipo.
Asante sana naamini ntasaidiwa
Mkazi wa Mtaa wa Shede wilayani Nyamagana mkoani hapa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumnywesha mkojo mtoto wake wa kambo mwenye miaka tisa (jina linahifadhiwa) ikiwa ni adhabu ya...