moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
Habari wakuu,
Katika maisha mambo mengi tunakutana nayo ili maisha yazidi kusonga mbele na tunajitahidi mno tuongee ukweli ili hayo mambo tupishane nayo au twende nayo sambamba, lakini ukizingatia sana muda mwingine inabidi binadamu azungumze uongo ili mambo yawe safi.
Wakati mwingine inabidi udanganye ili maisha yawe sawa sawa na uokoe baadhi ya matokeo mabaya yatakayoweza kutokea hapo mbeleni ambayo yatasababisha vitu ambavyo ni ugomvi, chuki na mengineyo sambamba na hili.
Kwahiyo inabidi tujifunze kuwa uongo nao una faida kubwa sana katika maisha yetu cha msingi ni kuchunga fikra na ndimi zetu ili mambo yaende.