Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,468
- 2,903
Nilikuwa napitia Report ya Poverty and Human Dev ya 2014 inaonesha Tz bado ni nchi ya kipato cha chini ingawa mikoa3 ya kilimanjaro, Dar na arusha kama ingekuwa nchi tayari imeshaingia kiwango cha nchi za uchumi wa kati.
Nikajiuliza, badala ya kwenda kujifunzi nchi kama Malaysia na nyingine juu ya mbinu walizotumia na kupiga hatua kimaendeleo, je hii mikoa haiwezi kuwa kioo cha nchi na tukafuata hatua walizopita hadi kufikia kiwango cha maendeleo walichonacho?
Tukumbuke, kuiga kwa kutumia eneo ama kitu kinachofanana na eneo lako/chako proberbility ya kufanikiwa ni kubwa zaidi.
Tunaweza kushauri ni approach ipi sahihi tunayoweza kuitumia kujifunza kwa wenzetu hawa nasi mikoa mingine tukapiga hatua na hivyo kuiondoa nchi kweny LDC.