Kizuri Kula na Mwenzio: Burger Za 'McDonalds' Bongo!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kizuri Kula na Mwenzio: Burger Za 'McDonalds' Bongo!.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pascal Mayalla, Feb 28, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,590
  Likes Received: 18,575
  Trophy Points: 280
  Ule msemo wa Kizuri kula na wenzio unamaanisha ukiona jambo jema, zuri, wajulishe na wenzio!.

  Hii ni kwa wenzetu mliopo ughaibuni, msosi rahisi ni fast food. Wale wa Mcdonalds, Kentucky or Tenesse etc, mkirudi nyumbani bongo, sasa mambo hayo yapo!. Karibu kila petrol station kubwa jirani kuna kibanda cha burger, tatizo ni hizo burger zenyewe!.

  Miongoni mwa wanaojitahidi sana kufanania na Mcdonalds angalau angalau ni kile kibanda pale Petrol Station ya Morocco!.

  Mkirejea nyumbani, ukijiona umemiss sana burger, karibu hapo Morroco you'll never regrate!.
   
 2. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ile ya Morocco- Kinondoni ndiyo the best..

  Nadhani inafuatiwa na ya pale Bamaga...
   
 3. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Pasco ndugu yangu, zile hamburg kwa kweli wanajitahidi.
  Kuna siku jamaa yangu alimpeleka demu pale wa chuo flani opposite na mahakama ya kazi, demu alizifinya chicken burger mbili na vichips akazifuta zote then akashushia na sprite ya kopo! Mimacho ilimtoka jamaa! Toka siku ile anamuita MUNGIKI.
   
 4. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Burger ya moroko imepata kura yangu turufu!
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mi wacha nilezangu makande kama kawa . Hizi junk food unaweza dume zima kuota matiti.
   
 6. 1

  19don JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  burger ndio nn sasa, naona mnataja majina ya watu mara mc donards anafanyia shughuli zake za umc ukumbi gani tujuzane basi
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  pasco

  yaani umenidisturb appetite yangu kwa chakula kingine, ile burger ipo vizuri
   
 8. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Kwa Tanzania huwezi kuita junk food, bado hatujafikia kuwa na machakula kama ya ulaya. Otherwise ni kweli kwa ulaya ni junk food ila hapa watu tunakula kama kitu kipya kwenye Tanzania cuisines haipo hii. Tushajizoelea mbuzi choma!
   
 9. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Junk food kwa bongo yetu ni CHIPS MAYAI NA MSHIKAKI right?
   
 10. kiagata

  kiagata Senior Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Sasa hilo ni tangazo la Biashara au..?
   
 11. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Teh teh teh....eti baga!!
   
 12. S

  SUWI JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hahahhahahahahahahahhaha!!! sina mbav...
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,590
  Likes Received: 18,575
  Trophy Points: 280
  Kiagata, hili sio tangazo la biashara, hii ni taarifa ya kizuri ule na mwenzio!. Lingekuwa tangazo ningetaja kuanzia jina la petrol station, jina la hiyo burger hut, ningekutajia mpaka mmiliki wa kibanda, na kukutajia vibanda vyake vingine ili kukuza biashara yake!. Kwa vile burger sio msosi wa asili yetu, walengwa wa taarifa hii ni wale wa maburger burger, sisi wa ugali tunaendelea na ugali wetu!.
   
 14. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  hata mimi natamani kula burger naishia viazi vya Gairo
   
 15. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Aisee learned brother....hiyo nayo ndo nini?
   
 16. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Haaa ile ya pale Moroco ni kiboko....alafu bei yao si kubwa kihivyo.
  Huwa sikosekani mitaa ile siku mojamoja
   
 17. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ukerewe hatujapataga bado
   
 18. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  junk foods not acceptable!
   
 19. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hapa kwetu Arusha kuna sehemu wanatengeneza Burger za Senene! Wenyekutaka kujua pahali zinapopatikana ni PM nitawajulisha bila kusahau Trouper la Viwavijeshi!
   
 20. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,590
  Likes Received: 18,575
  Trophy Points: 280
  ni jina tuu kama Makidonadi, Kentaki fraid chiken na Tenesee fraid chiken!. Natumaini utakuwa unenipata.
   
Loading...