senkoP
Senior Member
- Aug 28, 2017
- 180
- 208
Jamani naombeni ushauri:-
Mama yangu ni mgonjwa tulipewa Referral kutoka hospital ya mkoa kwenda Muhimbili hospital baada ya mama kusumbuliwa na koo wakati anapomeza kitu kama vile ugali n.k.
Baada ya vipimo mama aligundulika ana saratani ya koo ambayo iko stage ya kwanza tena baada ya uchunguzi wa kina wakagundua kwenye figo kuna uvimbe mwingine ambao unasemekana ni wa saratani.
Sasa cha kushangaza toka mwezi wa kwnza mwaka 2018 hadi sasa mwezi wa sita mama hajapata matibabu tunapigwa kalenda mara njooni kesho mara mpaka tuwapigie simu ndio mje na simu hawapigi, tukienda tu wanakuwa wakali.
Mara uambiwe daktari wake hayupo jamani hili swala linanichanganya sana kwani najua siku zinavyozidi kwenda ule ugonjwa nao ndio unavyozidi kusambaa.
Sasa sijui nifanyeje wazalendo wenzangu.