Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Kama kuna wasanii wa vikaragosi|(cartoonists) wanao ni furahisha basi ni pamoja na Masoud wa Kipanya ukiacha yule Mtanzania anayeishi nchini Kenya ndugu yetu Godfrey Mwampembwa almaarufu (GADO).
Katika kupitia pitia nyuzi juzi nilikutana na Kigaragosi kimoja kama sikosei ilikuwa katika gazeti la Mwananchi. Nimetafuta picha hiyo sijaipata!Kigaragosi kilionyesha watu wawili mmoja akiuuliza maana ya Stieglers' Gorge ni nini huku mwenzake akimjibu kuwa maana yake ni Standard Gage...!!!Katika siku zilizowahi kucheka ilikuwa ni hiyo juzi......Ukisoma katikati ya mistari hakika hii ni akili ya kufikirisha sana.....!!
Kwamba kuna Watz wanasikia tu Viongozi wakitamka kwamba Serikali ina mpango wa kujenga Stiegler's Gorge na Standard Gage lakini Watu hawajui maana wala faida yake kwa Wabongo.
Mfanyakazi anapoambiwa kuwa mshahara wake hautaongezeka mpaka Serikali hii ikamilishe hii miradi ya Stigila Goji na Standadi Geji lazima aweweseke kiukweli...!!!
Heko Kipanya kwa vikaragosi tunduizi....!