Hivi unawezaje kusimamia Ndoa ya uliyemtuhumu kuuza madawa ya kulevya ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
Hili jambo linafanywa na Paulo Makonda ambaye ni RC wa Dar es Salaam .

Katika orodha yake ya Watumiaji na wauzaji wa Madawa ya kulevya aliyoitoa kwa vyombo vya habari , jina la Ndugu Majizo lilikuwemo , haifahamiki kilichotokea lakini leo hii mtoa tuhuma hizo ndio anasimamia ndoa ya mtuhumiwa ! Kulikoni ?

Hivi mtu huyu anaweza kuaminika katika jambo gani lingine ?

Kuna haja ya Mamlaka ya uteuzi kupitia kwa makini sana wateule wake , hii kitu wenye akili wote wanashangaa ! Ukiacha tu uozo huu lakini lingine ni hili , Tangu lini majukumu ya RC ikawa ni kuratibu na kuandaa ndoa za watu kiasi cha kujipa uenyekiti wa kamati ya maandalizi ?
 
Hakuwa target....
Kama ilivyokuwa kwa wanaosemekana kutelekeza watoto.....
 
Hili jambo linafanywa na Paulo Makonda ambaye ni RC wa Dar es Salaam .

Katika orodha yake ya Watumiaji na wauzaji wa Madawa ya kulevya aliyoitoa kwa vyombo vya habari , jina la Ndugu Majizo lilikuwemo , haifahamiki kilichotokea lakini leo hii mtoa tuhuma hizo ndio anasimamia ndoa ya mtuhumiwa ! Kulikoni ?

Hivi mtu huyu anaweza kuaminika katika jambo gani lingine ?

Kuna haja ya Mamlaka ya uteuzi kupitia kwa makini sana wateule wake , hii kitu wenye akili wote wanashangaa ! Ukiacha tu uozo huu lakini lingine ni hili , Tangu lini majukumu ya RC ikawa ni kuratibu na kuandaa ndoa za watu kiasi cha kujipa uenyekiti wa kamati ya maandalizi ?

Hii serikali,mtoto,baba,mama,etc wote wana madevu kama kambale!

It does not make any sense!
 
Hili jambo linafanywa na Paulo Makonda ambaye ni RC wa Dar es Salaam .

Katika orodha yake ya Watumiaji na wauzaji wa Madawa ya kulevya aliyoitoa kwa vyombo vya habari , jina la Ndugu Majizo lilikuwemo , haifahamiki kilichotokea lakini leo hii mtoa tuhuma hizo ndio anasimamia ndoa ya mtuhumiwa ! Kulikoni ?

Hivi mtu huyu anaweza kuaminika katika jambo gani lingine ?

Kuna haja ya Mamlaka ya uteuzi kupitia kwa makini sana wateule wake , hii kitu wenye akili wote wanashangaa ! Ukiacha tu uozo huu lakini lingine ni hili , Tangu lini majukumu ya RC ikawa ni kuratibu na kuandaa ndoa za watu kiasi cha kujipa uenyekiti wa kamati ya maandalizi ?
Wagombanao ndio wapatanao,
Ile taja taja majina kama Mkuu unadhani ilikua na lengo lile lililotajwa basi pole Mkuu wangu,
Ukipata Muda embu jaribu kutafuta majina yote yaliyotajwa na mahali walipo. Mi nadhan kulikua na other motive behind that movie.

By the way nadhani pia hapa umetumika ule msemo wa Adui (E-Fm) wa adui yako (Clouds) ni Rafiki yako
 
Back
Top Bottom