Waziri Hamisi Kigwangalla, msimamo wako ni upi kuhusu ushoga na usagaji?

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,159
9,241
Mwaka jana akiwa Waziri wa Afya uliagiza James Delicious, Dani mtoto wa mama, Kaoge na kadhalika wakamatwe kwa kujihusisha na vitendo vya mapenzi ya jinsia moja.

Lakini imetushangaza wengi siku za karibuni Hamisi Kigwangalla huyohuyo akijikomba kwa mtangazaji wa kipindi cha The Ellen Show cha nchini Marekani ambaye amefunga ndoa na mwanamke mwenzie ambapo mtangazaji huyo aliambatana na mke wake kwenye ziara yao ya siri ya honeymoon waliyofanyia Tanzania.

Kigwa.PNG

Licha ya wao kutotaka kujulikana location waliyopo, Waziri Kigwangalla alionekana akiwa anachangia mara kwa mara kuwaomba wawili hao waweke hashtag yenye neno TANZANIA.

Sasa hoja na swali la msingi ni:- Je, msimamo wa Kigwangalla juu ya uwepo wa mashoga na wasagaji ni upi?

Ellen.jpeg
 
Msimamo wa serikali juu ya ushoga ni kwamba, kwa sasa tofauti na huko nyuma tunafuata maslahi ya kiuchumi ya taifa. Kama ushoga utakuja na maslahi ya kiuchumi basi Tanzania tuko tayari kuupokea, kama vile tu tulivyofungua ubalozi Israel na Morocco. Uchumi kwanza mambo mengine yote ni nyuma.
 
Tuna angalia maslahi ya taifa na kukuza utalii. Mambo ya wasenge waachie wasenge.kanisani Na misikitini wako kibao hatuwazui kutoa sadaka. Sadaka yao ni muhimu kama ilivyo hella ya mtalii
 
Huyu ni mchumia tumbo yeye na bosi wake walikuwa busy kusema hatuyaki misaada watatuletea ushoga sasa kumbe hela za mashoga wanazipenda shenz type. Ukiwa mlafi usiwe mnafiki, huku kwingine baba yao kila kukicha ooooh mikataba ya kukopeshana inakujaga na terms ambazo zinaharibu utamaduni wetu ikiwemo ushoga ila nae kila siku kutwa kuomba wamsaidie mara hela ya reli mara elimu basi tu mradi ni shgala bagala
 
Nilisikia na mdogo wake ni mchele ndio maana alipoanza kubweka wakamuumbua wakasema aanze na mdogo wake kwanza jamaa ikabidi akaushe
 
Nilisikia na mdogo wake ni mchele ndio maana alipoanza kubweka wakamuumbua wakasema aanze na mdogo wake kwanza jamaa ikabidi akaushe
Khah. Temea mate chini. Ndugu wa muishimiwa hawezi kua m*****.
 
Khah. Temea mate chini. Ndugu wa muishimiwa hawezi kua m*****.
Kwahiyo ukiwa Mh automatically unakua malaika sio? mm sipendi ndoa hizo ila napata shida kuona MTU anakereka kwa mambo MTU anayofanya siri ndani ya chumba tena wakiwa wawili, in short am very liberal..Na wako watu kibao nawajua ndani ya bongo wanaishi kinyumba..I don't mind! I don't care !
 
There is a very thin line between "Economic Diplomacy" and "Political Prostitution".

Hamisi Kigwangallah doesn't posses the requisite marbles to negotiate that demarcation thread in a logically consistent way.

Moreover, the entire anti gay business was just deflection to drive attentionnfrom real issues.
 
Kwenye swala la pesa Kigwangala anasupport tu ushoga na usagaji kwakuwa hakuna namna nyingine tena nchi haina pesa kwasasa.
 
Ila kukaribisha watalii bongo sio kazi ya Waziri,
Kujipendekeza na kushushia heshima hicho cheo ndiko anakoelekea..
BTW mambo ya LGBT kuweka msimamo si Jambo la busara kama taifa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom