Msaada: Mtu kwao!!!

Msaada: Mtu kwao!!!

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,233
Reaction score
51,648
Amani iwe kwenu wadau;

Naomba kufahamu ile instrumental inayosindikiza katuni za mtu kwao na Nathan Mpangala baada ya taarifa ya habari na ITV, imepigwa na nani na ninawezaje kuipata kwa lengo la kujifunzia muziki, nikiisikiliza navutiwa sana na mpangilio wa vyombo.

Natanguliza shukurani kwa wachangiaji chanya wote
 
Back
Top Bottom