Septem
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 313
- 404
Binafsi nilishakua mteja wa NMB nikaachana nao, nikaja CRDB niliposettle hadi leo,nikaionja Stanbic sikukaa, baadae nikaja bank ya posta nikaona hovyo. About 3 months ago nikaingia rasmi Exim Bank.
Hii bank inashida sana, inahita uwe na kiwango cha juu sana cha uvumilivu ili uwe mteja.
1. Inachukua zaidi ya siku 1 kupata akaunti namba.
Nilifungua akaunti nikadeposit kiwango 'kikubwa kidogo' cha ajabu akaunti kuipata ikabibidi nisubiri siku mbili ndio nikaipata.
2. Kujiunga Exim Mobile nayo ni kimbembe.
Kujiunga Exim mobile ni suala la kusubiri masaa 72.
3. ATM Cards.
Niliipata ATM card baada ya week 3, nilipoipata nikaambiwa nisubiri 24 hours ndio ifanye kazi. Masaa 24 yaliisha, mida ya saa 7 usiku niko bar hela imekata, naingia naambiwa card is invalid. Exim mobile tizi. Kesho yake naenda branch naambiwa subiri iko kwenye Queue ya Activation.
Basi nikaomba Internet mobile.
Nikajaza form nikaambiwa nisubiri masaa 24, yalipofika naambiwa email haiko registered na account. Kuulizia naambiwa niende branch. Branch wanadai siku nafungua account, ofisa aliyenihudia alisahau kuregister email yako. Hivyo niandike request letter kwq manager..
Dunia ya leo customer anazunguka weeks kupata huduma!!!!
Nilichogundua.
Hi bank kila kitu weki centralize.
Kila kitu kinafanyika headquarter. Dunia ya leo huu ni mfumo wa kizamani sana. Zipeni branch uwezo wa kufanya mengi.
Unless mtapotea. Waulizeni ttcl walikufaje. Wewe unaandika barua kwa manager kuomba bundle[emoji23]