Ndege mpya Mali ya Air Tanzania aina ya Boeing787 Dreamliner imefanya majaribio ya kuruka kwa majaribio katika uwanja wa Paine, Seattle nchini Marekani.
Ndege
Neno La Leo: Nani Atauzima Mshumaa Wa Serikali?
Ndugu zangu,
Miongoni mwa viongozi waliopata kuongoza dola ya Kiislam, hususan baada ya Mtume Muhammad (SAW) na baada ya masahaba, ni Amir muumini...
Habari za mapumziko wanajamvi,bila kupoteza muda nimeona niombe msaada maana wanasema akil zikiwa mbili mambo huenda mrama. Mimi ni kijana wa miaka 27, nimefanikiwa kuajiriwa na Serikal.
Mara...
1. Ajali ya kwanza.
Wadau mnaotumia barabara ya Mandela toka Buguruni au Kigogo eneo la tabata dampo karibu na puma imetokea ajali moja mbaya na kuua mwenda kwa miguu instantly... Hapo hapo. Semi...
Hali kweli ngumu.
Yaani nilijisahau kabisa kuwa leo ni sikukuu ya sabasaba. Nimetambua baada ya kuangalia kalenda sasa na kuona saba ikiwa nyekundu na kujiuliza kwani leo ni siku gani? Kusogea...
Mwezi wa tisa napata likizo ya siku 50 .Napenda kutumia likizo hiyo kujifunza ufundi wa matatizo ya kawaida ya computer .Fundi yoyote aliye Dar es salaam na anawiwa kunisaidia kwa namna tutakayo...
Napenda kuwaeleza wale wote waliosoma katika shule ya Sekondari Vituka kwamba,mimi ndie mwanafunzi namba moja wa shule hiyo hata cheti changu cha shule ni 01,kwa ufupi mwanafunzi namba moja ni...
Wazazi kuna wakati tunakosea sana.
Kwanini umshonee mwanao wa kike sare za shule zinzombana kwenye mapaja / kiunoni na huko juu kifuani ? mnakuwa mnataka nini au lengo lenu nini juu ya mbwa...
WAKATI michuano ya Kombe la Dunia ikiendelea nchini Urusi, pweza aliyekuwa anaaminika katika kubashiri matokeo ya mechi kadhaa zilizopita zikiwemo za timu ya taifa ya Japan, ameuawa na kugeuzwa...
najiuliza hii kauli inaukweli wowote au ni kufarijiana tu.
Je, kuna baadhi ya vitu hatupaswi kutenda bali tupige domo hadi viumbike?
ni nini mipaka ya kauli hii na ukweli wa kauli hii ni nini...
Habari zenu wakuu, tunakutana tena kwa awamu nyingine baada ya JF kutoka mapumziko. Kama mada inavyojieleza ni kuhusu usalama barabarani, jeshi la polisi kitengo cha barabarani linafanya kazi...
Dar es Salaam. Baada ya malalamiko kuzidi kutokana na kuwapo biashara zisizo rasmi katika baa maarufu ya Corner, sasa baa hiyo imeamriwa kufungwa.
Akiwa katika ziara ya kawaida leo (Jumamosi)...
Weka list ya mawaziri wanaoweza kuongea kingereza kwa ufasaha
1. Khamisi Kagasheki
2. January Makamba
3. Harrison Mwakyembe
4. Mark Mwandosya
Hata Zitto ni mzuri sana kwenye hii lugha japokuwa...
Zanzibar ina wakazi kama milioni 1 tu na ukiangalia takwimu zaidi ya 60% ya Watalii wanaotembelea JMTZ wanakwenda Zanzibar kwa maana nyingine Zanzibar nusu nzima ya Watalii wanaokuja JMTZ kila...
KATAZO LA PIKIPIKI KUINGIA MJINI ILA KWA KIBALI MAALUM, JE HICHO KIBALI KINARUHUSU HIYO PIKIPIKI KUFANYA BIASHARA MJINI.
Watu wanaenda mjini kwa pikipiki na baiskeli ili kupunguza foleni, ila...
Habari za leo wakuu. Naomba kama kuna food specialist/ nutritionist yeyote humu aliyewahi kuandika barua ya kiapo ya kusimamia uzalishaji katika kiwanda cha chakula kwenda TFDA na ikakubaliwa...
Habari zenu Wana JF Leo nimekuja na swali nanaimani mahali hapa naweza saidika, kwa kuwa nimejaribu Kuutafuta Ukweli nimeshindwa kuupata..... Swali langu linatoka katika upande wa BIBILIA...
Chunguzeni tu mtaona Madereva wengi wa ama Mabasi ya Abiria au Malori ya Mizigo iendayo Kilimanjaro au Arusha Nyuso zao mara nyingi huwa ni zenye furaha sana kuliko wale wa njia za Iringa, Mbeya...