Hii hali inatokana na nini?

Hii hali inatokana na nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,705
Reaction score
128,212
Chunguzeni tu mtaona Madereva wengi wa ama Mabasi ya Abiria au Malori ya Mizigo iendayo Kilimanjaro au Arusha Nyuso zao mara nyingi huwa ni zenye furaha sana kuliko wale wa njia za Iringa, Mbeya na Mwanza ambao muda mwingi huwa wamenuna na wana hasira mno.

Wanaochunguza hizi Ajali za mara kwa mara pengine kuanzia tu hii ' study ' yangu ndogo wanaweza wakaanza kupata mwanga wa kwanini Ajali zinafululiza sana katika baadhi ya Mikoa nchini Tanzania.

Dereva muda wote tu mpo njiani ananuna na kila mara akiwa anapiga Gia tu lazima ' asonye ' bonge la ' lisonyo ' hivi Ajali huko mbele ya Saari zitaacha kutokea Kweli?

Nawasilisha.
 
ulifanyia wapi utafiti
 
Hii njia ya mbeya ni tata sana sisi watu wa hii njia tunaijua vzuri ni lazma dereva anune
 
Dereva wa Moshi Arusha lazima ayafune mirungi kabla na wakati wa safari ndio maana hawanuni
 
Dunia inakwenda kasi sana...
Watanzania msipotumia akili mtakufa na kuteseka sana..
 
Mkuu ulichokisema ni kweli kabisa. Hata mimi niliwahi kujiuliza hili swali mwanzoni ila nikaona labda watu wa huku nyanda za juu kusini ndio sura zao.
 
Madereva wa mwanza na arusha mara nyingi uamkia hasubuh kutafuna KITYUU ya ARUSHA huwatoa stress ila hawa wa hzo sehemu nyingine wao uamkia KUVUTA KITU YA KYABAKARI
 
Back
Top Bottom