Ndege mpya ya Tanzania aina ya Boeing yafanya majaribio ya kuruka

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
Ndege mpya Mali ya Air Tanzania aina ya Boeing787 Dreamliner imefanya majaribio ya kuruka kwa majaribio katika uwanja wa Paine, Seattle nchini Marekani.

Dg-a_-nUEAAk4V4.jpg

Ndege
 

Attachments

  • Ndege.mp4
    2.4 MB · Views: 116
Nyie wapingaji wa ufipa hii sio pangaboi tena, duh! Endeleeni na vijimaneno vyenu vya kimbowembowe, eti oh bibi yangu kule kijijini atafaidikaje na hili lidege sijui nini, upuuzi mtupu. [HASHTAG]#Hapakazitu[/HASHTAG].

Dg-a_9yUwAEKjoD.jpg


Dg-a_-nUEAAk4V4.jpg

Dg-a_9xVQAANLMP.jpg
 
Back
Top Bottom