Msaada wa mawazo unahitajika

Msaada wa mawazo unahitajika

MUBIKU

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
284
Reaction score
388
Habari za mapumziko wanajamvi,bila kupoteza muda nimeona niombe msaada maana wanasema akil zikiwa mbili mambo huenda mrama. Mimi ni kijana wa miaka 27, nimefanikiwa kuajiriwa na Serikal.

Mara baada ya ajira sikupoteza muda nikachukua mkopo benki, lakin nashukuru niliweza kuutumia kwa ujenzi wa nyumba eneo la mkoa ambao ninafanyia kazi ijapokuwa sio mzaliwa wa eneo nililijenga, changamoto nying sana nilizipitizi ktk ujenzi huu maana mkopo ulisha kabla ya kumaliza ujenzi swala ambalo liliniumiza sna kushindwa kufikia malengo mengine kama kuwajengea wazaz makiz/(Kujenga nyumban), kitu ambacho kilunifanya kuichukia kaz maana sikuwa na uwezo wa kuish kwa nusu mshahara.

Nashukuru mungu ilibidi nifanye maamuz ya kuiuza nyumba ambao nilijenga huku mkoa wa ugeni na kupata faida mara 2 ya ela niliyochukua mkopo benk

OMBI LANGU KWENU:-
Dhumuni la kuandika uzi huu ni kutaka kupata mawzo yenu mazur ili niweze kufikia malengo niliyojiwekea
1.KUWAJENGEA WAZAZI
2.KULIPA KIASI KILICHOBAKIA ILI NIFUTE MAKATO YA MKOPO KATIKA MSHAHARA WANGU
3.KUJENGA NYUMBA MPYA AMBAYO NTAISHI HUKU UGENINI
 
Hivi bado una mawazo ya kuishi kwenu tu?
...Basi sasa, nitaangalia lini mambo ya nyumba yangu mwenyewe? Mwanzo 30:30
Fanya kwa ajili yako wanao kisha wazee wako.

Biblia inasema mzazi mwema ni yule anaemuachia mwanae urithi. Napendekeza uyafanye yote kwa namna unadhani itafaa, lakini ujue huo mkoa ulipo ndo panaweza kuwa kwako, si busara kupaita ugenini, maana ikiwa utawaza hivyo hautafanya lolote la maana la kimaendeleo kwani akili yako itaendelea kupaita ugenini na kimsingi huezi fanya maendeleo ugenini.
 
Makosa yako ni haya.....
1. Loan without plan
2. Mshara mdogo, unalazimisha mambo makubwa.
3. Haujakua mpangilio wa mipango yako.
4. Unalazimisha wazazi waishi vile utakavyo wewe.
5. Kazi yako ndio unataka iwe mkombozi wa kilakitu.
6. Unaongozwa na tamaa ili ufanikiwe haraka.
Na kadhalia......
Naomba kuwasilisha
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hela uliyonayo baada ya kuuza nyumba umepata faida mara mbili, lipa mkopo, na usipende kukopa kama hauna mipanglio mizuri ya kuifanya kwa mkopo huo.
 
Fanya ivi iyo hela.ulyo nayo nipe mm tu nifanyie mamb yang kwanza afu nki maliza nkushauri cha fanya maana ww unacho taka ni cfa kwmba umewajengea wazazi nyumba uku ww una teke tea[emoji41] inshort wasaidie kw kdgo ulcho nacho co ulazmishe vkubwa uku hunaaa
 
Makosa yako ni haya.....
1. Loan without plan
2. Mshara mdogo, unalazimisha mambo makubwa.
3. Haujakua mpangilio wa mipango yako.
4. Unalazimisha wazazi waishi vile utakavyo wewe.
5. Kazi yako ndio unataka iwe mkombozi wa kilakitu.
6. Unaongozwa na tamaa ili ufanikiwe haraka.
Na kadhalia......
Naomba kuwasilisha
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Very wise aiseeee, point zote umegonga mule mule mkuu...most of people especially hawa wa serikalini wanapoanza na kimshahara basi huwashwa na kujidumbukiza kwenye tamaa za vitu vikubwa like nyumba, gari etc bila proper plans...

Ukikopa kwa ajili ya kujenga au kununua gari huku ukitegemea mshahara wa msimu kwa msimu utafilisika chap, mkopo kopa ukiwa na strategies za uhakika za kuboost hela hiyo na sio kwenda kuuchimbia mkopo huo ardhini kwa kujenga au yard ya magari. Utatafuta mchawi nani kumbe mchawi ni IQ yako kua ndogo
 
Makosa yako ni haya.....
1. Loan without plan
2. Mshara mdogo, unalazimisha mambo makubwa.
3. Haujakua mpangilio wa mipango yako.
4. Unalazimisha wazazi waishi vile utakavyo wewe.
5. Kazi yako ndio unataka iwe mkombozi wa kilakitu.
6. Unaongozwa na tamaa ili ufanikiwe haraka.
Na kadhalia......
Naomba kuwasilisha
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
NIMEKUELEWA SAN MKUU
 
Hela uliyonayo baada ya kuuza nyumba umepata faida mara mbili, lipa mkopo, na usipende kukopa kama hauna mipanglio mizuri ya kuifanya kwa mkopo huo.
Kwel nimeamin kk maana swala la intrest ni pasua kichwa
 
Back
Top Bottom