mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
najiuliza hii kauli inaukweli wowote au ni kufarijiana tu.
Je, kuna baadhi ya vitu hatupaswi kutenda bali tupige domo hadi viumbike?
ni nini mipaka ya kauli hii na ukweli wa kauli hii ni nini.
wengine wameenda mbali na kusema MAJINA yanaumba, kama ukiitwa SHIDA basi utakuwa na shida mpaka ukome.
Hizi ni sayansi jamii, sayansi imani, au sayansi sayansi?
Nawaza...