figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
KATAZO LA PIKIPIKI KUINGIA MJINI ILA KWA KIBALI MAALUM, JE HICHO KIBALI KINARUHUSU HIYO PIKIPIKI KUFANYA BIASHARA MJINI.
Watu wanaenda mjini kwa pikipiki na baiskeli ili kupunguza foleni, ila sisi bila sababu tunataka pikipiki na baiskeli ndo walipie vibari vya kuingia mjini.
Wenzetu wenye Magari binafsi ndo wanalipia kuingia mjini ili kupunguza foleni. Hata huku ilitakiwa wenye magari binafsi wapande mabasi ya mwendo kasi
Jana majira ya saa kumi na moja(July 6 2018)barabara ya Nyerere kabla ya kituo cha basi cha Kamata, kuna mkulima alishikiliwa pikipiki yake mpya aliyotoka kununua punde tu Kariakoo, wakaipakia kwenye suzuki carry kuipeleka karakana ya wakala wa ufundi na umeme (TEMESA )
TUKIO LIMENIPELEKEA KUWAZA KWA SAUTI
1)Kariakoo pana maduka mengi ya pikipiki, je ni njia gani iliyo ainishwa ya kuzitoa mjini baada ya kuuzwa.
2)Inakuja je kuvizia pikipiki za kukamata pale Darajani na kwenye ukuta wa Shule wasichana ya Jangwani, ingali mbele atua chache baada ya kituo cha zima moto Kuna kijiwe cha bodaboda.