NHC-WIZI, UFISADI, MIKATABA MIBOVU

NHC-WIZI, UFISADI, MIKATABA MIBOVU

majebsmafuru

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
463
Reaction score
649
@NHC imekumbwa tena na kashfa nyingine iliyojaa wizi, ufisadi na mikataba mibovu na mwekezaji, kiasi cha kufanya TRA kukosa mapato yake.

Mkataba huu wa majengo ya "Fayrouz Flats", mwekezaji anachaji $ huku @nhc akilipwa madafu, na kwa kiasi kidogo sana...

Inadaiwa kodi haijalipwa TRA sababu mkataba kati @nhc na mmwekezaji ni kwa ajili ya upangishaji na siyo kuuzwa kwa nyumba...

Mikataba hii mibovu siyo tu yameisababishia Serikali kutokupata mapato yake, pia yamewawezesha baadhi ya mabosi @nhc kujipatia hela za rushwa.
Inadaiwa Serikali inahitajika kwa haraka sana kulishughulikia hili swala ili dola isiendelee kupoteza mapato yake stahiki..

Zaidi tusome hapo chini

NHC losing out to developers in joint venture projects
“Construction of this residential flat can hardly reach 10bn/- but it is actually said to have fetched over 15bn/-) said the sources who urged the current NHC management to act quickly and get back ownership of such joint venture buildings many of which only benefit developers.
The Fayrouz flats with units registration B101 to B501 which constitute 14 apartments belonging to NHC are also said to evade payment of income tax as the developers show Tanzania Revenue Authority officials that payment is done in local currency.
Worse still, the sources said, the private developer has violated the joint venture agreement by outright selling another 14 units which under the agreement belong to Better Homes which collects rent paid by tenants.
“All 14 second set apartments are sold to individuals most of whom have no title deeds while a few others have forged title deeds,” the sources noted saying the apartments have been sold at between U$ 185,000 and U$ 270,000 each.
The sources said in the second case also government revenue in form of taxes has not been collected by TRA because the agreement is for leasing and not selling. “This developer has several other joint venture projects with NHC in Dar es Salaam, Arusha and Tanga cities where two different companies, Prime Properties and Showmax Tanzania Limited are partnering the state developer.
“This scheme has denied ordinary Tanzanians access to better NHC housing at affordable rates because greedy people have usurped them and are charging dollars or other hard currencies,” the sources noted.
Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development, William Lukuvi suspended NHC Director General, Nehemia Mchechu and Director of Operations, Raymond Mndolwa last week after President John Magufuli openly accused the NHC chief executive officer of engaging in deceitful acts.
“You have your own private company which is also doing real estate business, in some cases we have investigated and found out that you buy plots of land using different names to hide your identity,” President Magufuli charged saying his government wants a clean up at the state developer before providing guarantee for loan acquisition.
The head of state also accused Mchechu’s management of involving a private company in the ownership of the giant Kawe Beach Project which was already borrowed U$ 2bn from PTA Bank with government guarantee.
Chanzo :-
NHC losing out to developers in joint venture projects BUSINESS » | IPPMEDIA
 
NHC nayo kumbe ilikuwa imeoza sana aise...
Hivi sisi WaTZ tuna allergy na MIKATABA?!
Mbona kila kukicha twasikia tatizo ni mikataba?! Inapoandikwa watu wetu wanakuwa wamelewa viroba au wagonjwa?!
Sidhani kama hawajuwi wala kusema hawawezi kuisoma, tuna tatizo kwenye akili zetu kwenye hili swala ya mikataba. Inauma, inasikitisha, inaudhi, inakera mno mno...
 
JPM yuko sahihi kuyatupa Segerea majizi yote kwa uhujumu uchumi yanayotapanya mali za Umma.
Yakafie huko
Na mizoga yao ikazikwe na City

Na akitoka JPM, Rais ajaye (Mwalimu) awe mkali zaidi yake ili kuwasaidia Wananchi waonateseka na Maradhi na Umasikini.

Inasikitisha na ni ujinga na upumbafu kabisa, Mtumishi wa Umma aliyeaminiwa na Wananchi kutumia kalamu yake kuwaibia Wananchi wenzake

Nchi zilizoendelea hasa Ulaya na America na huko Asia
Mali za Umma zinaogopwa kama ukoma.

Maendeleo hayawezi kuja ikiwa tunaruhusu Wachache kutumia Mali za Umma kwa manufaa yao na familia zao.
 
Kuna watu humu wanatokwa na povu utadhani kuna siku serikali iliwahi kumpelekea hata mlo mmoja home kwake. Ttzo sio watu ni mfumo mbovu wa kuendesha serikali uliopo kwa haya Maccccm. Sasa hivi nchi inaongozwa kwa matamko.
 
Ingekuwa Jambo jema tukatoa namna nzuri zaidi ya kuendesha Serikali au mawazo ya kuboresha utendaji wa Serikali ili Nchi ipate maendeleo kwa faida ya Wananchi wote
 
Ingekuwa Jambo jema tukatoa namna nzuri zaidi ya kuendesha Serikali au mawazo ya kuboresha utendaji wa Serikali ili Nchi ipate maendeleo kwa faida ya Wananchi wote
Mbwa mzee hafundishwi sheria. Dawa ni kuondoa mfumo mzima. Ni kama kuondoa jino bovu.
 
Mbwa mzee hafundishwi sheria. Dawa ni kuondoa mfumo mzima. Ni kama kuondoa jino bovu.
Comrade
Mfumo huu umekuwepo toka Uhuru 1961
Kuondoa au kuuvunja ni process

We are doing our best ktk awam hii ya tano ili kuleta fikra na nidham mpya

Tunahitaji maombi na Wananchi wote
 
Ingekuwa Jambo jema tukatoa namna nzuri zaidi ya kuendesha Serikali au mawazo ya kuboresha utendaji wa Serikali ili Nchi ipate maendeleo kwa faida ya Wananchi wote
We furahia maisha uliyonayo na Fanya kazi kwa bidii maana serikali ni lisahani Fulani chafuchafu hata ukilichambua hutoliweza utaishia kukata tamaa tu
 
We furahia maisha uliyonayo na Fanya kazi kwa bidii maana serikali ni lisahani Fulani chafuchafu hata ukilichambua hutoliweza utaishia kukata tamaa tu
Binafsi nitaendelea kufanya kazi kwa Uzalendo, Uaminifu na Ubunifu kwa manufaa ya Wananchi wenzangu ambao walikatwa kodi kutusomesha....
 
haya majizi bila jpm yasingeshika adabu
 
Kuna vijamaa pale NHC idara ya manunuzi vinaishi maisha ya peponi.tunajiuliza kama mtu ameweza kununua Randrover mpya 4 kwa mkupuo.tunajiulza walikuwa wanapata wapi hela.pia wana miliki mali nyingi sana.hebu serikali iendelee kuwachunguza.akiwemo yule kijana wa Singida Iramba
 
Sawa
Ujumbe umefika
Unawakumbuka wale majizi ya NIDA
Tuliwapa kesi ya uhujumu Uchumi

Hawa NHC dawa yao imeiva Mkuu
 
NHC nayo kumbe ilikuwa imeoza sana aise...
Hivi sisi WaTZ tuna allergy na MIKATABA?!
Mbona kila kukicha twasikia tatizo ni mikataba?! Inapoandikwa watu wetu wanakuwa wamelewa viroba au wagonjwa?!
Sidhani kama hawajuwi wala kusema hawawezi kuisoma, tuna tatizo kwenye akili zetu kwenye hili swala ya mikataba. Inauma, inasikitisha, inaudhi, inakera mno mno...
Tatizo ni lugha, msione watu waniga masuti na matai, kingereza hamna halafu wanapeana vyeo kisiasa au kikabila tu. Mambo mengine yanahitaji elimu ya kweli sio mbwembwe.
 
Comrade
Mfumo huu umekuwepo toka Uhuru 1961
Kuondoa au kuuvunja ni process

We are doing our best ktk awam hii ya tano ili kuleta fikra na nidham mpya

Tunahitaji maombi na Wananchi wote
Pitisheni katiba ile toleo la Warioba mambo mengi ya ajabu yatapungua kama sio kuisha kabisa
 
Back
Top Bottom