Ramadan imenitesa Zanzibar, nimeshindia tende

Ramadan imenitesa Zanzibar, nimeshindia tende

Mangi umenifanya nicheke sana.Ulikuwa unaogopa Aruba hamsa.Nasikia wanatandika viboko wakikukuta unakula mchana😀😀😀
 
Aaaah mkuu the future is exited, ama Kama vip, wewe rudi tu nyumbani kumenoga kinoma mbona???
 
Utashindiaje tende wakati jioni ni uhuru wa manyani?!"ati nimethindia tende wiki nzima" ukuda tu.
 
Kwanini uishi sehem ambayo hauko huru.
Si utoke kwenye hivyo visiwa mmebanana kwa kila kitu njoo nyumban
 
Mangi umenifanya nicheke sana.Ulikuwa unaogopa Aruba hamsa.Nasikia wanatandika viboko wakikukuta unakula mchana😀😀😀
Mkuu acha tu.
Ila nimetokea kuzipenda tende, mana kila siku lzm 5000 ya tende
 
Back
Top Bottom