gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 685
- 962
Yaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
Na Uswahili juu! Khe Khe Khe khe!!Wawekezaji wajue watakachokutana nacho Tanzania, sio kiswedish wala kiingereza ni kiswahili kwakwenda mbele.
HahahaNa Uswahili juu! Khe Khe Khe khe!!
Nimegundua kuna raia wa kuomba nakuzaliwa bilashaka ww niraia wakuomba ulitaka azungumze kilugha cha wazungu wakati yy ni mtanzania haha kuwa mzalendoYaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
mkuu kwani lugha ya Taifa ni ipi?Yaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
Anawavuruga wasijue kaongea pumbaYaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
Wewe Lumumba huwezi kusema kinyume na hapo.Mbona ilikuwa nzuri sana
Mkuu,to be honest hiyo ilikuwa nzuri mbona,labda ukimcompare na wazungumzaji wengneWewe Lumumba huwezi kusema kinyume na hapo.