Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Neno ' paka ' au ' mapaka ' ni maneno yaliyozoeleka sana kusikika ukiwa Moshi na Arusha. Ukiwa Mjini au kwenye sehemu za starehe siku haipiti hujasikia neno ' paka ' .
Vijana wanapenda sana kuwaita wanawake wa type fulani kwa jina la ' paka ' . Na paka (mnyama) alivyo na tabia mbaya mtaani huwa sielewi vijana kwa nini wanawafananisha wanawake ( wa aina fulani ) na mnyama paka.
Paka ana sura mbaya . Paka ni mwizi . Paka ni mjanja mjanja sana . Paka hutumiwa na wachawi .Paka huwa hana huruma hata kama unamfuga . Paka siyo wa ku-entertain hata kidogo. Paka ana makucha na meno makali sana. Paka hula vifaranga na kuiba nyama au samaki kwenye sufulia au frij.
Vijana wa Arusha embu tuelimisheni neno ' mapaka ' huwa linamaanisha nini kwa wanawake ?