Hadi Mwanza hapa ipoNimekuwa nikiuliza hili swali lkn sijawahi kupata jibu stahiki, hivi Mbege iko KLM kote au ni baadhi ya maeneo moja tu? Yaani kila mahali Mkoa wa KLM kilevi chao ni Mbege?
Asili yake ni moshi uruNaelewa lkn ningependa kujua asili yake!
Moshi yote mkuuOk asante kwa jibu lako, na inanywewa Mkoa wa KLM wote au ni huko Uru tu?
Ipo Uchagani kote kuanzia Rombo hadi Siha, na kwa Wa Meru Arusha, Upareni pia ipo ila sio kote....kuna maeneo ya Same kuna ukame sana na ndizi hazistawi, na mbege inahitaji ndizi so inakua ngumu. Pia Wapare wengi Waislamu na pombe sio popular sana kama uchagani ambapo ni wakatoliki wengi.
Ndizi,uleziKumbe Mbege inatengenezwa na ndizi? Nilijua ulezi!
Swali lingine na kote inaitwa hivyo Mbege au inajulikana kwa jina lingine?
Ndizi ndio ingrediet kuu na ulezi pia unahusika.Kumbe Mbege inatengenezwa na ndizi? Nilijua ulezi!
Kumbe Mbege inatengenezwa na ndizi? Nilijua ulezi!
Swali lingine na kote inaitwa hivyo Mbege au inajulikana kwa jina lingine pia?
Mchina anauzoefu hatareMbege ipo hadi darslam..
Karibu mfia chama!!View attachment 805891