Msaada wa kupata bajaji ya mkopo(TVS King)

Nenda CRDB mkuu. Wana mikopo ya bajaji na bodaboda
 
Nilivoenda kwenye tawi lao sehemu ya masharti walionipa ni:
1 niwe dereva au mmiliki wa bodaboda /bajaj au niwe muajiriwa (serikalini au taasisi binafsi).
2. Uwe na uwezo wa kulipia 20% ya gharama ya chombo unachohitaji (mkopo watakupa 80% ya bei ya chombo hicho, wewe ulipie ile 20% inayobaki)
3. Bima ya chombo utakata kwao.
4. Mengine nimeyasahau.
Kama vipi tembelea kwenye tawi lao utapewa maelekezo zaidi.
 
Duh!!!!! Aya mi ndio yanayonishindaga aya
 
Mimi ni dereva kwa maana hata leseni ninayo na hiyo asilimia 20 pia ninayo shida iko kwenye kukata bima sijajua bei gani? Na je ni lazima niwe na akaunti katika benki yao ndio nipewe mkopo au naweza kwenda bila akaunti halafu nikafungua siku ambayo napewa mkopo?
Waone NMB
 
Mkuu kawatembelee kwenye matawi yao watakupa maelekezo
 
Hata equity bank wanakopesha bajaji mkuu,pita bank tajwa ili upate taarifa sahihi.
 
Ku
Nilivoenda kwenye tawi lao sehemu ya masharti walionipa ni:
1 niwe dereva au mmiliki wa bodaboda /bajaj au niwe muajiriwa (serikalini au taasisi binafsi).
2. Uwe na uwezo wa kulipia 20% ya gharama ya chombo unachohitaji (mkopo watakupa 80% ya bei ya chombo hicho, wewe ulipie ile 20% inayobaki)
3. Bima ya chombo utakata kwao.
4. Mengine nimeyasahau.
Kama vipi tembelea kwenye tawi lao utapewa maelekezo zaidi.
Kua dereva kwa maana uwe na leseni sio..
Au kwa maana ipi mkuu,
 
Back
Top Bottom