Ebwana nitakutukuza kwa maana umeniinua!

Ebwana nitakutukuza kwa maana umeniinua!

jesus4life

Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
8
Reaction score
19
Ee BWANA, nitakutukuza kwa maana umeniinua,
Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
[Ee BWANA, Mungu wangu,
Nalikulilia ukaniponya.
Umeniinua nafsi yangu,
Ee BWANA, kutoka kuzimu.
Umenihuisha na kunitoa
Miongoni mwao washukao shimoni.
Mwimbieni BWANA zaburi,
Enyi watauwa wake.
Na kufanya shukrani.
Kwa kumbukumbu la utakatifu wake.
Maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo,
Katika radhi yake mna uhai.
Huenda kilio huja kukaa usiku, lakini asubuhi huwa furaha..
 
Ukiona mtu anakimbilia injili ujue maisha yamebana, siku zote Mungu hamna mpango naye vikibana mnamtafuta!
 
Ee BWANA, nitakutukuza kwa maana umeniinua,
Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
[Ee BWANA, Mungu wangu,
Nalikulilia ukaniponya.
Umeniinua nafsi yangu,
Ee BWANA, kutoka kuzimu.
Umenihuisha na kunitoa
Miongoni mwao washukao shimoni.
Mwimbieni BWANA zaburi,
Enyi watauwa wake.
Na kufanya shukrani.
Kwa kumbukumbu la utakatifu wake.
Maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo,
Katika radhi yake mna uhai.
Huenda kilio huja kukaa usiku, lakini asubuhi huwa furaha..
Amen. Jina la Bwana lihimidiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom