Msaada:Wapi nitatengenezewa jino bandia kwa Morogoro na bei yake ikoje?

Msaada:Wapi nitatengenezewa jino bandia kwa Morogoro na bei yake ikoje?

Mzee Mchochezi

Senior Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
125
Reaction score
244
Kama mada inavyojieleza

Nina shida ya jino bandia manake nina pengo la mbele na jino langu la bandia nililokua nalitumia limetumbukia chooni wakati nalisafisha

Hapa nna pengo siongei vizuri kabisa

Nipo morogoro mjini so zahanati gani naweza pata hii huduma na bei ya kuchonga ikoje?

Nifahamishwe tafadhali.
 
mi nataka nichonge meno ya mbele naona yanasogea kila nnavozidi kukua bei sh ngap na huduma wapi
 
mm mwenyewe nataka jino kuna moja la kushoto limeisha ukipata utaniambia​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom