Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Kusema kweli kuanzia leo sitachangia wala kuanzisha uzi wowote unaohusiana na maswala ya siasa ,
Nina sababu zangu za kufanya hivyo nyie wenye mioyo ya chuma endeleeni kushabikia hizo siasa uchwara za bongo.
Mfano kwenye uzi huu ulioletwa hapa na mwana JF mmoja[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
TUNDUMA KUNANI?: Mbunge akamatwa baada ya kwenda Kituo cha Polisi kuomba ulinzi dhidi ya Green Guard
Uzi kama huu kwa sisi wenye mioyo isiyo na ustaimilivu tunaweza kutapika humu mwisho wa siku tujikute ununio au kwenye viroba tunaelea na familia zetu zije kupata tabu,
Wengine ni watoto wa pekee bwana sasa vitu vinavyotia hasira kama hivi nyonga zetu zinashindwa kuvumilia kabisa ufumbafu huu .
Bora tu nimuunge zangu mkono ndugu yangu GUDUME au niamie zangu kule jukwaa pendwa la 18± niwe nali fresh mind.
ikiwezekana Mod naomba mniondolee jukwaa la Siasa kabisa kwangu kama ambavyo wengine wanavyokosa access ya jukwaa la18± na lile la Dini kule ili nisione tena haya.