Nimeipenda tweet ya Fatma Karume.

Nimeipenda tweet ya Fatma Karume.

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,291
Nimeipenda sana hii tweet imeambatana na utani vijana wa lumumba msitokwe na povu.

1. Babu wa Taifa = Mtwa Mkwawa

2. Baba wa Taifa = Mwalimu Nyerere

3. Kaka wa Taifa = Mhe. Tundu Lissu

4. Dada wa Taifa = Mange Kimambi

5. Shangazi wa Taifa = Mhe. Fatma Karume

Hii sio takwimu ni maoni hivyo, ruhusa ya NBS haiitajiki kabisa, kusambaza post hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20180712-013905.jpg
 
Nimeipenda sana hii tweet imeambatana na utani vijana wa lumumba msitokwe na povu.

1. Babu wa Taifa = Mtwa Mkwawa

2. Baba wa Taifa = Mwalimu Nyerere

3. Kaka wa Taifa = Mhe. Tundu Lissu

4. Dada wa Taifa = Mange Kimambi

5. Shangazi wa Taifa = Mhe. Fatma Karume

Hii sio takwimu ni maoni hivyo, ruhusa ya NBS haiitajiki kabisa, kusambaza post hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 807645
Fatuma ni akili kubwa yupo kwenye viwango vya uingereza
 
Nimeipenda sana hii tweet imeambatana na utani vijana wa lumumba msitokwe na povu.

1. Babu wa Taifa = Mtwa Mkwawa

2. Baba wa Taifa = Mwalimu Nyerere

3. Kaka wa Taifa = Mhe. Tundu Lissu

4. Dada wa Taifa = Mange Kimambi

5. Shangazi wa Taifa = Mhe. Fatma Karume

Hii sio takwimu ni maoni hivyo, ruhusa ya NBS haiitajiki kabisa, kusambaza post hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 807645
Ongeza Bujibuji, mshauri na shemeji wa TAIFA
 
Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
 
Ndio madhara ya kuchanganya taaluma na siasa..Bora angeunda foundation ya kusaidia jamii au kuburudisha,ingempa credibility kuliko huu ujinga wa watoto wadogo anaoufanya humu
 
Hiyo nayo hata nyani anaandika kujitafutia kifuta machozi.. hata hauna bichwa wala miguuu.. haichekeshi wala haijaenda shule.. bure kabisa.. ndio watu wanakaaa kufikiria hayo.. sheria zikiwapita wanaishia kulialia eti wanaonewa..
Naona umepata tabu sana

Na utaendelea kupata tabu sana Lissu anarudi si kitambo utaama nchi na tena 1/8/2018 ya dada wa taifa inakaribia,nahisi utakupa kwa shock
 
Back
Top Bottom