Hivi unajua kuwa kamba aliyojinyongea mtu ni dili kubwa sana .Wasalam! Hivi ni kwanini KTU akifa Kwa kujinyonga au akifia ziwani hasafitishwi kwenda kuzikwa kwako na badala yake anazikwa pembeni alipojinyongea au pembeni ya ziwa? Mawazo yenu tafadhari
Deal kwa issue ipi ya maana kama sio ushirikina tu!!!Hivi unajua kuwa kamba aliyojinyongea mtu ni dili kubwa sana .
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji855]imani haba tu
Ni utajiri wa kishirikina.Deal kwa issue ipi ya maana kama sio ushirikina tu!!!
si kwel mkuuWasalam! Hivi ni kwanini KTU akifa Kwa kujinyonga au akifia ziwani hasafitishwi kwenda kuzikwa kwako na badala yake anazikwa pembeni alipojinyongea au pembeni ya ziwa? Mawazo yenu tafadhari
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji855]
duuuuhh acha masihara ..hebu toa maelezo tosheleziHivi unajua kuwa kamba aliyojinyongea mtu ni dili kubwa sana .
weka pichaWasalam! Hivi ni kwanini KTU akifa Kwa kujinyonga au akifia ziwani hasafitishwi kwenda kuzikwa kwako na badala yake anazikwa pembeni alipojinyongea au pembeni ya ziwa? Mawazo yenu tafadhari
Hahahaha..umejua nichekesha dahNi kukosa akili tu, unakuta mtu kwao kijijin anajinyongea dar, huo ni upuuzi kwa nini uwape watu mzgo? Si ukanyinyongee kwenu, kwa mtu mwenye akili na asiyetaka kuwapa ndg mzgo kwa sbb amejitakia mwenyewe anafunga safar mpk kijijin
Haaaa haaa [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] wamekuudhi dar na ukatibuka unafungaNi kukosa akili tu, unakuta mtu kwao kijijin anajinyongea dar, huo ni upuuzi kwa nini uwape watu mzgo? Si ukanyinyongee kwenu, kwa mtu mwenye akili na asiyetaka kuwapa ndg mzgo kwa sbb amejitakia mwenyewe anafunga safar mpk kijijin
ha hahaaweka picha