Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,072
Habari zenu wakuu..
Ngoja niende kwenye mada..Katika pitapita zangu instagram nikakutana na hii ya makonda kwamba eti wanawake nak wanugua tezi dume!!!
Nimeshangaa na kushindwa kuelewa inakuwaje mtu asijue hata vitu vidogo kama hivi!?? Kwanini anadanganya watu huyu mtu!?? Au ndo anathibitishia umma kwamba elimu kwake ni tatizo!?
Tezi dume kwa kiingereza ni "prostate gland" ambayo inapatikana kwa mwanaume na kazi yake ni kuzalisha yale majimaji(shahawa) ambapo yyanabeba mbegu za kiume(sperms) na tulifundishwa tangu darasa la sita kwny topic ya MFUMO WA UZAZI..tukaja kusoma tena FORM III kwny REPRODUCTIVE SYSTEM..hivi inamaana huyu jamaa hakupita hata huko au anatufanyia makusudi!??
My take:Elimu inahitajika sana katika hii jamii yetu..ss kama kiongozi anaongea hivyo na kupoteza ukweli je tutasalimika kweli!!?
Maadui wakubwa watatu; UJINGA,MARADHI NA UMASIKINI.
Tushirikiane kuondoa ujinga miongoni mwetu wakuu..