Sababu za watu kujiua

Sababu za watu kujiua

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,575
Reaction score
12,537
SABABU ZA WATU KUJIUA

97% KATIKA MIA hakuna binadamu anaye jiua mwenyewe! Jamii ndio inauwa Watu wake

Siku za hivi maajuzi ongezeko la watu kujiua hasa askari polisi limeongezeka.

Chanzo ninini? Chanzo kikuu cha mtu kujitoa uhai nikufikiri ametengwa na dunia

Shida na matatizo msongo wa mawazo yakichangia pakubwa.

JAMII INA WAJIBU GANI KATIKA KUHAKIKISHA WATU HAWAJITOI UHAI?

Njia kuu ni mshikamano na ukaribu, jaribu kushirikiana na wanajamii katika kutatua changamoto. Usikubali msongo wa mawazo ukutawale,

Hivi unajua AMANI, Na Furahaa huongeza ongezeko la watu kujiua? Hii nikwasababu wakati wa amani katika jamii na furaha kunakuwa hakuna mshikamano, kama utakubaliana nami wakati wa matatizo mfano Vita, jamii hushikana pamoja na katika kipindi hiki hakuna anaye jiua.

Naomba nieleweke sikubaliani na watu wanaochukua uamuzi wa kujiua bali nasema hivii "VIFO VYA WATU WENGI WANAO JIUA KATIKA JAMII SABABU ZA KUJIUA HUTOKA KATIKA JAMII YENYEWE"

Mwanajamii ya thamini maisha ya mwingine:

Hitimisho

Kujiua kwasababu zinazoweza kutatulika sio ushujaa Bali ni ujinga

Sometimes shirikiana na Jamii kutatua matatizo yako.
 
Ulichosema nikweli, watu wanajiua sababu weng wanakataliwa au kupuuzwa najamii .

Inafikia wakat, unatatizo.lkn huon wakumwambia .
 
Hakuna sababu ya mtu kujiua zaidi ya UPUUZI na ULIMBUKENI, kwann ujiue? Yani kabisa mtu unajiua? yani unashindwa kutafuta hata paka au mbwa uziue ili kumaliza hasira na msongo wako wa mawazo unaamua kujiua kweli!
 
Wanaume wa mikoani wanajiua kwa mapenzi
 
na msubiri mteuliwa akatoe pole ya rambi rambi au tamko lolote kwanini watu wa wizara yake wanajiua kuliko wizara zingine...
 
Back
Top Bottom