Kupotelewa vitambulisho

Kupotelewa vitambulisho

Sam 2023

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,829
Reaction score
1,984
Ndugu wanajukwaa nimepoteza vitambulisho vifuatavyo
1. Kadi ya mpiga kura Samwel N. Ngulinzira
2.bima ya afya Samwel nicolaus
3. PPF ID Nicholaus ngulinzira Samwel.
Vimepotea mjini Kahama. Taarifa iko polisi kwa RB namba AR/RB/7658/18. Kwa yeyote atakayeviona atoe taarifa polisi au apige simu namba 0757999209. ASANTENI SANA
 
Pole sana mkuu...weka matangazo mpk FB unaweza kufanikiwa kupata
 
Utanzania wako unatia mashaka!ngoja tuje utuoneshe makaburi ya mababu zako[emoji1] (hakuna mtanzania mwenye surname kama yako)
Makaburi yote yapo. Cha msingi Uhamiaji na mkemia mkuu waandae bajeti ya Carbon-14 na DNA TEST
 
usichelewe kwenda polisi, wanaweza wasikusaidie kuvipata ila ni kwa usalama wako, mtu mwingine anaweza kuvitumia kufanya uharifu kesi ikawa yako. ni muhimu sana kwenda kuandikisha polisi
 
usichelewe kwenda polisi, wanaweza wasikusaidie kuvipata ila ni kwa usalama wako, mtu mwingine anaweza kuvitumia kufanya uharifu kesi ikawa yako. ni muhimu sana kwenda kuandikisha polisi
Nashukuru mkuu, nmeripoti polisi na mmepewa RB.
 
Nakazia hoja mkuu.

Hiyo nguru ....... Kwetu bongo hakunaga.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
😀😀😀 We jamaa, Bongo kubwa sana
 
Back
Top Bottom