Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Check out @zittokabwe’s Tweet:
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Good morning Friends, Aisee nimeumizwa sana na hichi nilichokiona leo tena asbh hii pale maeneo ya Mwenge Mataa, kuna huyu Chokoraa(mtoto wa mtaani) alikuwa anasafisha gari ya mtu binafsi kama...
12 Reactions
229 Replies
19K Views
Mange Kimambi Amechaguliwa kuwania tuzo ya Wanawake wenye Ushawishi wa Siasa Afrika huku yeye akiwakilisha Tanzania kama mwanmke pekee mwenye ushawishi mkubwa katika tuzo hizi barani Afrika...
26 Reactions
116 Replies
13K Views
Nimemsikia waziri wa mambo ya ndani leo akiongea na askari wa usalama barabarani pamoja na wadau wa sector ya utalii juu ya kero ambazo hawa traffic wanazisababisha kwa watalii kwamba kila baada...
1 Reactions
1 Replies
999 Views
Nimekuwa nikitazama programu za chaneli za Tv mbalimbali hapa Tanzania na nimegundua kitu ambacho napenda kuwajulisha. Hivi taarifa ya habari kuonekana katika chaneli za ETV na Clouds TV ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
SALAM ZANGU KWAKO LEO TAR 14/01/2018 MAWAZO YAKO YANAKUSOGEZA KARIBU NA MUNGU AU YANAKUWEKA MBALI NA MUNGU? Mika 2:1 Ole wao wakusudiao mambo maovu, na kutenda mabaya vitandani mwao...
5 Reactions
3 Replies
6K Views
Kuna mzee hapa katokea kuwa rafiki yangu. Kama mnavyojua hapa zakhemu mambo ni moto nyumba hapa zinafika hadi milion 400. Sasa mzee ana nyumba hapa watoto wamekuwa wakitaka nyumba iuzwe...
1 Reactions
4 Replies
993 Views
Watu wote tuliopo facebook tunapenda kushirikishana mambo yetu hasa picha nk . sababu kubwa ya kushirikishana (sharing) ikiwa ni mihemko ( emotion connection) Watafiti wanatuambia mtu akiwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Just a reminder to all married people: If you have promised your wife or husband that you will love him or her 24/7... Today is 24/7 GODBLESS U
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Bila shaka utahoji kwa bajeti ipi labda? lakini nyeti zinadai kuwa kuna ongezeko kwenye mshahara wa mtumishi mwishoni mwa mwezi huu(Hapa sizungumzii habari za kima cha chini) watumishi endeeni...
5 Reactions
86 Replies
12K Views
Mada inajitosheleza swali likiwa gumu na mimi nitalitupa kwa wanaohusika zaidi ili tupate kujua kilichojiri. Karibuni...
3 Reactions
122 Replies
12K Views
Mwizi katika kujitetea kakubali kaiba laki tatu mbele ya mahakama badala ya laki laki tano ya mlalamikaji anavyodai, tarehe ya hukumu imepangwa . Nauliza ni nn kitatokea katika hukumu, msaada...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Blue Monday kama ambavyo wengi wetu tumezoea kuiita ni jina lililopewa kwa siku ya Jumatatu ya tatu ya mwezi Januari kila mwaka ambapo huashiria kwamba ni siku yenye uchovu "stress and depression"...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia wafanyakazi wawili wa kampuni ya Mawasiliano TTCL kwa tuhuma za kuhujumu kampuni hiyo na kuisababishia hasara ya Milioni 46.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha 360 cha Clouds FM ambacho kwa kuwa ni Ijumaa leo hujikita katika michezo na burudani, na wageni walikuwa bintiye mtangazaji Gadna G. Habash, Karen, na rapa wa...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Sifa kuu ya msiba ni vilio na huzuni, na hapa ndipo wajasiriamali walipoona fursa na kuichangamkia. Pichani juu ni waliaji wa kukodishwa kwenye misiba(professional mourners) kutoka nchini Ghana...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Hakuna kitu kama swali la kijinga Dunia hii, hivyo kejeli pembeni, kwa anayaefahamu wanaposema Bilioni au trilioni kadhaa tunamaanisha Sifuri ngapi?
1 Reactions
21 Replies
12K Views
Jaman jaman hali ngumu sanaaa kwa vijana wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro na mikoa ya jirani na kama inavyojulikana kuwa vijana wengi walikuwa na shughuli kuu za kuchimba Madini,na shughuli za...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexender Mnyeti amewataka wananchi kusikiliza taarifa zinazotolewa na vyombo vya serikali na sio kusikiliza taarifa mitaani kwani hizo zinapotosha . Kauli hiyo ameitoa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
"Ni hulka ya binadamu kumteta mwenye mamlaka juu yao. Ukiwa Kiongozi kokote, walio chini yako lazima wakutete kwa uzuri au ubaya na kukupachika jina ikibidi. Isikukere, ichukulie kama fursa ya...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…