Wisertz
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 219
- 302
Blue Monday kama ambavyo wengi wetu tumezoea kuiita ni jina lililopewa kwa siku ya Jumatatu ya tatu ya mwezi Januari kila mwaka ambapo huashiria kwamba ni siku yenye uchovu "stress and depression" ndani ya mwaka. Mara ya kwanza siku hiyo ilitambulishwa Mwaka 2005 na kampuno ya matangazo (PR) inayoitwa Sky Travel ambapo kwa mwaka husika, blue Monday ilikuwa ni Jumatatu ya tarehe 24. 01.2005.
Watu hao walijitanabaisha kwamba walitumia njia ya mahesabu yaani "equation" katika kuipata siku husika huku mambo yaliyozingatiwa ni pamoja na
i. Weather
ii. Debts level
iii. The amount of time since Chrissmass
iv. Time since failing new year's resolutions
v. Low motivational levels
vi. Feeling of a need to take charge of the situaon
[W + (D-d)] X TQ
---------------
M X NA
Kwa mwaka 2018, blue monday ilikuwa tarehe 15.01.2018, mara nyingi blue monday husemekana kuwa jumatatu ya tatu ya ya mwezi januari, ila pia yawezekana kuwa jumatatu ya pili ama ya nne ktk mwezi januari. Inasemekana, ubunifu wa siku husika ulilenga zaidi kibiashara kwa kuwataka watu kusafiri, holiday, relax na mambo kadha wa kadha kama njia mbadala katika kukabiriana na a stressful monday yaani blue monday.
Kwa nini ikaitwa blue monday badala ya yellow, pink, black nk? Nimejiuliza ila nikalazimika kufahamu juu ya rangi na maana zake, ni kwamba licha ya rangi ya blue kumanisha mito, bahari nk, pia humaanisha stress na depression. Yawezekana ikawa ni miongoni mwa sababu, hata hivyo, anga ni la blue, kukipmbazuka anga huonekana, aidha, hii kampuni inaitwa Sky travel! Bila shaka walibase na sky and the likes....
Kwa Tanzania na nchi jirani, naona kila Jumatatu hutanabaishwa kama ni blue monday! Nadhani miongoni mwa sababu mbili zimechangia:-
i. Uelewa mdogo juu ya siku husika
ii. Kwamba viashiria vya blue monday kama Stress na Depression vimekuwa vikionekana kila Jumatatu.
Kwa sasa ni hayo tu, and by the way hii ni free platform ya kuongeza uelewa juu ya mambo kadha wa kadha, mko free katika kiboresha kwa namna inayofaa/yenye kujenga zaidi.
Gracious!