Mwenge, Dar: Mtoto wa mtaani (Chokoraa) apigwa hadi kufa

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
594
1,000
Good morning Friends,

Aisee nimeumizwa sana na hichi nilichokiona leo tena asbh hii pale maeneo ya Mwenge Mataa, kuna huyu Chokoraa(mtoto wa mtaani) alikuwa anasafisha gari ya mtu binafsi kama kawaida yao huwa hawaulizi.

Sasa wakati wa kumaliza usafi aliojipangia mataa yakaruhusiwa ndio yule Chokaraa akang'oa ( Futa kifaa cha yule dereva cha nyuma ya gari) SIJUI KINAITWAJE, Ndipo alipotaka kukimbia akachomekewa na gari ya mtu wa nyuma aliemuona yule mtoto anafanya wizi ule na kudondoka chini ndipo aliposhushiwa kipigo na kufa.

Nimekosa amani leo, nini kifanyike kukomesha hawa watoto hii tabia yao ya kusafisha gari bila ruhusa?

Nawasilisha......!!!!
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,506
2,000
Apigwe tu
Wa Africa sisi niwakatili,..... kwanini umpige mtu hadi kifo kwa "petty thefty" hao watoto wako pale kwasababu ya sera za nchi mbovu na Wazazi wasio jielewa hawako pale kwa kuchangua duh. Hicho kifa ni cha shilling ngapi hata kingekua million ndo uue mtu kwa hivyo vigari vyenu vya "baby walker " wapi na wapi ist, spacio, Mazda, Raum, na nasfi ya mtu...duh astonishing Africans
 
We acha tu ndg hadi safari yangu imeharibiwa na hichi kifo aisee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom