Hakuna wizi wa madini Manyara

Hakuna wizi wa madini Manyara

John Walter

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
68
Reaction score
63
Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexender Mnyeti amewataka wananchi kusikiliza taarifa zinazotolewa na vyombo vya serikali na sio kusikiliza taarifa mitaani kwani hizo zinapotosha .
Kauli hiyo ameitoa baada ya kuzuka kwa taarifa kuwa madini ya Tanzanite yanaibiwa licha ya kuwepo kwa ukuta.
 
Wizi upo kila sehemu isipokuwa Mbinguni tu!
Hata wakibana vipi, watakachofanikiwa ni kupunguza wizi na sio kuutokomeza kabisa...
 
Back
Top Bottom