tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,494
"Ni hulka ya binadamu kumteta mwenye mamlaka juu yao. Ukiwa Kiongozi kokote, walio chini yako lazima wakutete kwa uzuri au ubaya na kukupachika jina ikibidi. Isikukere, ichukulie kama fursa ya kupata mrejesho kuhusu uongozi wako." Usia nilipewa na Kiongozi mmoja