Ushauri wa mzee

Ushauri wa mzee

kinyama nje

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
1,838
Reaction score
2,487
Kuna mzee hapa katokea kuwa rafiki yangu. Kama mnavyojua hapa zakhemu mambo ni moto nyumba hapa zinafika hadi milion 400. Sasa mzee ana nyumba hapa watoto wamekuwa wakitaka nyumba iuzwe wakishirikiana na mke mkubwa. Jambo ambalo amekuwa akipinga sana.

Sasa Jumamosi alianguka chooni bahati mzuri hakuzimia wala kutoa lile povu. Nb.nina uzoefu nishawahi kuona hii kitu. Watoto na mama yao wanataka apelekwe hospitali. Mzee alilia kwa sauti ya chini na kutaka apelekwe kwa mganga jambo ambalo lilizua mtafaluku mpaka wapangaji kuingilia.

Mzee akasema kwa sauti ndogo chukua simu angalia jina fulani mpigie mwambie nimeanguka. Fasta simu ikapokelewa tax ikakodiwa mzee akapelekwa. Asbh hii nimetoka kumuona karudi lakini hajafikia nyumbani kwake yuko kwa mdogo wake charambe.

Sasa mzee kanishauri kinyama nje usikae kizembe mke si ndugu. Licha ya watoto tafuta mtu mtakaeaminiana maana aliyeweka ngumu asipelekwe hospitali alikuwa anajua hii kitu na ni mpangaji wake.

Kifupi mzee kakunjua hiyo ila mdomo umepinda kidogo kwa mujibu wa mtaalamu hilo ni jambo dogo.

Hapa najiuliza maswali sipati jibu maana watoto na mke hawajaenda kumuona mpaka muda huu.
 
mbagala ndo zenu! mna uchawi wa kizamani

mie ukija nao wa hivyo nakurudishia mwenyew
 
duh hawana huruma kwa baba yao? mke hana huruma na mme wake
 
Don't believe any Woman.. Narudia Usimwamini Mwanamke Yeyote.. Hata Kama ni Mama yako Usimwamini katika Kila kitu!.. wa Kusikia na Asikie!
 
Back
Top Bottom