Good morning Friends,
Aisee nimeumizwa sana na hichi nilichokiona leo tena asbh hii pale maeneo ya Mwenge Mataa, kuna huyu Chokoraa(mtoto wa mtaani) alikuwa anasafisha gari ya mtu binafsi kama...
Mange Kimambi Amechaguliwa kuwania tuzo ya Wanawake wenye Ushawishi wa Siasa Afrika huku yeye akiwakilisha Tanzania kama mwanmke pekee mwenye ushawishi mkubwa katika tuzo hizi barani Afrika...
Nimemsikia waziri wa mambo ya ndani leo akiongea na askari wa usalama barabarani pamoja na wadau wa sector ya utalii juu ya kero ambazo hawa traffic wanazisababisha kwa watalii kwamba kila baada...
Nimekuwa nikitazama programu za chaneli za Tv mbalimbali hapa Tanzania na nimegundua kitu ambacho napenda kuwajulisha.
Hivi taarifa ya habari kuonekana katika chaneli za ETV na Clouds TV ni...
SALAM ZANGU KWAKO LEO TAR 14/01/2018
MAWAZO YAKO YANAKUSOGEZA KARIBU NA MUNGU AU YANAKUWEKA MBALI NA MUNGU?
Mika 2:1
Ole wao wakusudiao mambo maovu, na kutenda mabaya vitandani mwao...
Kuna mzee hapa katokea kuwa rafiki yangu. Kama mnavyojua hapa zakhemu mambo ni moto nyumba hapa zinafika hadi milion 400. Sasa mzee ana nyumba hapa watoto wamekuwa wakitaka nyumba iuzwe...
Watu wote tuliopo facebook tunapenda kushirikishana mambo yetu hasa picha nk . sababu kubwa ya kushirikishana (sharing) ikiwa ni mihemko ( emotion connection)
Watafiti wanatuambia mtu akiwa na...
Bila shaka utahoji kwa bajeti ipi labda? lakini nyeti zinadai kuwa kuna ongezeko kwenye mshahara wa mtumishi mwishoni mwa mwezi
huu(Hapa sizungumzii habari za kima cha chini)
watumishi endeeni...
Mwizi katika kujitetea kakubali kaiba laki tatu mbele ya mahakama badala ya laki laki tano ya mlalamikaji anavyodai, tarehe ya hukumu imepangwa .
Nauliza ni nn kitatokea katika hukumu, msaada...
Blue Monday kama ambavyo wengi wetu tumezoea kuiita ni jina lililopewa kwa siku ya Jumatatu ya tatu ya mwezi Januari kila mwaka ambapo huashiria kwamba ni siku yenye uchovu "stress and depression"...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia wafanyakazi wawili wa kampuni ya Mawasiliano TTCL kwa tuhuma za kuhujumu kampuni hiyo na kuisababishia hasara ya Milioni 46.
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha 360 cha Clouds FM ambacho kwa kuwa ni Ijumaa leo hujikita katika michezo na burudani, na wageni walikuwa bintiye mtangazaji Gadna G. Habash, Karen, na rapa wa...
Sifa kuu ya msiba ni vilio na huzuni, na hapa ndipo wajasiriamali walipoona fursa na kuichangamkia.
Pichani juu ni waliaji wa kukodishwa kwenye misiba(professional mourners) kutoka nchini Ghana...
Jaman jaman hali ngumu sanaaa kwa vijana wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro na mikoa ya jirani na kama inavyojulikana kuwa vijana wengi walikuwa na shughuli kuu za kuchimba Madini,na shughuli za...
Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexender Mnyeti amewataka wananchi kusikiliza taarifa zinazotolewa na vyombo vya serikali na sio kusikiliza taarifa mitaani kwani hizo zinapotosha .
Kauli hiyo ameitoa...