Hivi tuna Private Investigators Tanzania?

Wapo ila hawana nguvu kisheria unapotokea msala
Msala as in what?? I have a little assignment natamani ningepata PI maana I need some info so badly!!!
Mie mwenyewe ni PI ila amateur [emoji6]...wish ningepata.
 
Hapa hakuna ila ukiwakodi wa nakuja, halday finch MI nilikuwa nafanya nao kazi
 
Sio kwamba wanaweza pata leseni ila tu kuna kua na mipaka ya kazi yao?
Though sidhani sana kama TZ wapo maana pange chimbika [emoji23][emoji23][emoji23]
fuatilia vizuri issue ya Mwakyembe hadi anakuja kuwa poisoned na kabla ya hapo alikwisha tishiwa maisha. Yeye alitumia PI flani hapa bongo na ndio walikiwa wanampa taarifa ya kila kitu. Ila mwisho wa siku hakuwa na nguvu ya kufanya lolote zaidi ya kucheza media na kupenyeza yaliyokuwa yanajiri
 
Eeeeh baba we [emoji23] hao wa mheshimiwa mie I can't afford them bhana [emoji23][emoji23]!!Ka information kenyewe nnakotaka hakajai hata mkononi .Asante for the insight lakini.
 
Hawa watu ni muhimu Sana wakapata nguvu ya kisheria Sawa na takukuru au zaidi. Na tukiwa na private investigators company zenye mamlaka italeta utendaji bora kupitia ushindani wa utendaji Kazi, Sawa na shule private.
Wana hofu ya hatari "Geshi ra Porisi" litakufa kibudu na kupotea kabisa kama sio kukosa kazi.
 
Eeeeh baba we [emoji23] hao wa mheshimiwa mie I can't afford them bhana [emoji23][emoji23]!!Ka information kenyewe nnakotaka hakajai hata mkononi .Asante for the insight lakini.
Come across with you assignment may be we can do something.
 
fuatilia vizuri issue ya Mwakyembe hadi anakuja kuwa poisoned na kabla ya hapo alikwisha tishiwa maisha. Yeye alitumia PI flani hapa bongo na ndio walikiwa wanampa taarifa ya kila kitu. Ila mwisho wa siku hakuwa na nguvu ya kufanya lolote zaidi ya kucheza media na kupenyeza yaliyokuwa yanajiri
Yule demu mpiga deki wa ofisi ya mwakye alikuja kufa kifo cha utata, mhusika mkuu nae alikuja kuchezewa kaunta attack kwa kuwekewa poison nae ni mgonjwa..

Kuna thread ilisha wah kujadiliwa inayo husu haya mambo ya private investgation
 
Back
Top Bottom