Hakuna anayependa kukuona unafanikiwa

Hakuna anayependa kukuona unafanikiwa

MUBIKU

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
284
Reaction score
388
Maisha yetu wanadamu yanasiri kubwa mnoo, pia nimeamin tumeumbwa kwa mioyo yenye chuki na husda, hii ni baada ya kufanya uchunguz takriban wa miaka minne nimegundua katika swala la mafanikio hakuna mwema, labda tu (mama yako mzazi).
Hili limejidhihirisha kwa marafiki zangu wa karbu, ambao tume husttle pamoja kwa muda mrefu ,lakin linapokuja suala la maanikio yangu wameoneshwa kutopendezewa kabisa na wengine kushindwa kuficha hisia zao na kuaonesha chuki za waziwaz kwangu au kufuta urafiki kabsa.
SOMO:-
i/Tambua hakuna anaependa umpite kimaendeleo au uwe na mafanikio makubwa kuzidi ww, chakufanya Pambana kwa siri sana mpaka pale utakapo fanikiwa waone wenyewe kwa macho yao
ii/Epuka kuweka mipango yako/mfumo(USIRI) wako wa kimaisha kwao, maana ni sawa na kuuza raman ya vita kwa adui yako
iii/Usimpe faida mtu asiye kupa faida katika maisha yako
iv/Soma tabia za marafiki / ndugu zako ili ujue unaishi nae vipi ili asiwe kikwazo katika njia yako ya mafanikio
v/Epuka kutumiwa kama daraja la mafanikio ya wengine hapa ni kuwa mtu wa kutoa ushaur sana au kupanga mipango ya mafanikio kwa kushirikisha hawa wasio wema kwako
vi/HAKUNA MWEMA KWENYE MAISHA YAKO.
 
Maisha yana mengi ya kujifunza kila iitwapo leo,maisha ni siri kama kilivyo "kifo",binadamu si mtu wa kumtegemea moja kwa moja katika kufanikisha malengo yako/kuanza hatua mpya ya maisha,..

Lakini pamoja na hayo tunaye Mungu ambaye ni muaminifu,tena si kama binadamu hata aseme uongo...tumtegemee yeye kwa kila jambo na kwa kila kitu,ili atuoneshe njia sahihi na watu sahihi kwa wakati sahihi.
 
Umesema kweli tupu Mkuu. Na hasa namba moja nimejikuta naielewa mno Mkuu.

Sema sasa inapotokea umepambana kwa siri na wakaona wakati umeshafanikiwa bado chuki zao zinakuwepo vile vile. Kiukweli binadamu hatuna jema na kwa hali hii inabidi tuzoweane tu kwa kweli.
 
Nimekupa like hapo, kwa maelezo zaidi njoo pm tuyajenge
 
Maisha yetu wanadamu yanasiri kubwa mnoo, pia nimeamin tumeumbwa kwa mioyo yenye chuki na husda, hii ni baada ya kufanya uchunguz takriban wa miaka minne nimegundua katika swala la mafanikio hakuna mwema, labda tu (mama yako mzazi).
Hili limejidhihirisha kwa marafiki zangu wa karbu, ambao tume husttle pamoja kwa muda mrefu ,lakin linapokuja suala la maanikio yangu wameoneshwa kutopendezewa kabisa na wengine kushindwa kuficha hisia zao na kuaonesha chuki za waziwaz kwangu au kufuta urafiki kabsa.
SOMO:-
i/Tambua hakuna anaependa umpite kimaendeleo au uwe na mafanikio makubwa kuzidi ww, chakufanya Pambana kwa siri sana mpaka pale utakapo fanikiwa waone wenyewe kwa macho yao
ii/Epuka kuweka mipango yako/mfumo(USIRI) wako wa kimaisha kwao, maana ni sawa na kuuza raman ya vita kwa adui yako
iii/Usimpe faida mtu asiye kupa faida katika maisha yako
iv/Soma tabia za marafiki / ndugu zako ili ujue unaishi nae vipi ili asiwe kikwazo katika njia yako ya mafanikio
v/Epuka kutumiwa kama daraja la mafanikio ya wengine hapa ni kuwa mtu wa kutoa ushaur sana au kupanga mipango ya mafanikio kwa kushirikisha hawa wasio wema kwako
vi/HAKUNA MWEMA KWENYE MAISHA YAKO.

100% TRUE.
 
waafrika wengi ndo tuna tabia hiyo sana ya kutotakiana mafanikio! mfano chuo /shule unakuta mtu ana materials au projects nzuri ambazo kazidownload kutoka katika internet! Ila anaona taabu kumpa na mwenzie anufaike (au kumwachia mwenzie pindi YEYE ANAPOHITIMU MASOMO) kisa et kwa kuwa yeye kahaso/katumia gharama kuzitafuta. Mbaya zaidi anasahau kuwa wasingekuwepo wenye roho nzuri wakaweka hayo material /au projects ktk internet kwa ajili ya wengine kUtumia free ,basi na yeye asingepata. YAAN mtu anakuwa mchoyo hata kwa vitu ambavyo kapata free kutoka kwa wengine.

Ngozi nyeupe wangekuwa wachoyo au wenye roho mabaya kama sisi ,sidhani kama teknolojia ingekuwa imefika hapa !
Wao huwa wanamtindo wa kuachiana project ili wengine waendeleze. AISEEEEE ni shida sana. ALLAH NDO MTEGEMEWA (wallahu musta'anu)
 
ndomana nimeditch nilioita marafiki,ukipata shida wanafurahi,ukitoka wanakusema kinyama,mazuri yako yanawaumiza..wengine ndugu ila wanaoenda uwe chini na upate majanga..lifestyle nayoichukua itazua lawama lakini kwa kweli sijali
 
Maisha yana mengi ya kujifunza kila iitwapo leo,maisha ni siri kama kilivyo "kifo",binadamu si mtu wa kumtegemea moja kwa moja katika kufanikisha malengo yako/kuanza hatua mpya ya maisha,..

Lakini pamoja na hayo tunaye Mungu ambaye ni muaminifu,tena si kama binadamu hata aseme uongo...tumtegemee yeye kwa kila jambo na kwa kila kitu,ili atuoneshe njia sahihi na watu sahihi kwa wakati sahihi.

Amina Mtumishi
 
Back
Top Bottom