katokumbi
Senior Member
- May 19, 2012
- 195
- 78
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, nina kijiofisi changu cha kutengeneza simu na computer magomeni mapipa, sina maana kujitangaza ilanarudi kwenye maada yangu, nimejaribu kufanya uchunguzi mdogo kwa umri nilionao nimeona kati ya wanawake wa miaka 16 - 30 ndio wanaojiuza sana, licha ya hivyo tu ukioa mwanamke kati ya miaka 18 - 28 tarajia mateso ndani ya ndoa. wengi wao wa miaka hiyo hujiona bado wako sokoni hata wakiachana na wewe watapata wa kumuoa tu, so kwa hali hiyo vijana wenzangu msifikirie kuoa mkiwa under 30yrs mtaishia kuwa single, oa at leat ukiwa na 35yrs itakusaidia kupata mwanamke atakaekuheshimu.
ni hilo tu, wakosoaji njooni
ni hilo tu, wakosoaji njooni