Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na Mbunge wa Segerea Bonna Kaluwa amemtembelea na kujionea eneo linalotakiwa kujengwa Daraja la Mto Kinyerezi ambapo amesema atatuma wataalam wake kufanya...
Mkoa wa Ruvuma ni mkoa unaopakana na nchi ya msumbiji na malawi kwa upande wa kusini lakini mkoa huu pia hauna itikadi kinzani za kisiasa yaani unaongozwa na Chama tawala katika majimbo karibia...
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara, Chelestino Mofuga leo amesimamia shughuli ya kuteketezwa kwa moto kwa nyumba sita wilayani humo kwa kukaidi agizo la serikali la kuondoka ndani ya siku...
Wakaazi wa shehia ya Chumbuni wamepatwa na hofu kubwa baada ya madai ya kutokewa na paka ambaye anahusishwa na masuala ya ushirikina.
Wakingumza na Azam news baadhi ya wakazi hao wamesema paka...
KAGERA TANZANIA:Mkazi mmoja wa ngara mkoani kagera ameanza kuoza mwili wake kwa ukosefu wa matibabu.
Mkazi huyo aliyetambulika kwa jina la Gwasa Jacob (40) inasemekana alipata ajali maeneo ya...
Basi la Kampuni ya Tahmeed Coach lililokuwa likitokea Mombasa nchini Kenya kuja Dar es Salaam limewaka moto na kuteketea kabisa mpakani maeneo ya Lugaluga. Hakuna taarifa za vifo zilizoripotiwa...
Habari wakuu
Mimi si mwandishi mzuri
Lakini hili tukio limenikwaza mpaka
Hata link sijui namna yakuweka lakini ukiicopy ukaifungua kwa browser waweza kuona hiyo video ya askari mshenzi na mnyanyasaji
Habari wanajamii
Samahani kuna mama mmoja ameomba nimtangazie yaan yuko katika hali mbaya sana. Ana watoto watatu wadogo sana na mwingine anasoma.
Mama huyo hana kazi,hata hela ya kula...
Chato. Mkazi wa Kijiji cha Rubambangwe Kata ya Muungano wilayani Chato Mkoa wa Geita, Pascal Kanyembe (39) anadaiwa kufariki dunia akiwa mikononi mwa askari wa doria.
Kanyembe alifariki dunia...
Bila kupoteza muda je niumwe na yupi kati ya viumbe hawa ndio maumivu yatakuwa kidogo
1.nge
2.tandu
3.buibui
Na je yupi ni poisonous zaidi ya mwingine? Asanteni
Polisi Dodoma wanamshikilia Ally Omary (26) Dereva bodaboda kwa tuhuma za kuwasafirisha Wahamiaji haramu wawili Raia wa Ethiopia walioingia TZ bila vibali ambapo anadaiwa kuwasafirisha kwa njia ya...
1. TAIPAN WA ARDHINI:
Nyoka huyu ni wa kwanza kuwa na sumu kali duniani, anaeishi ardhini tu. aking'ata kitu chochote hutoa sumu kiasa cha milligram110 iliyo na uwezo wa kuua binadamu 100 au...
Bila kupoteza muda
Je smartphone yangu inaweza kufanya mambo mangapi?
Nataja machache ninayoyajua
1.kalculeta
2.tochi
3.kutuma msg
Kupiga cm
4.kurekodi sauti
5.kurekodi picha/camera/video
6.radio...
Kagera: Taharuki imetanda katika shule ya msingi St Joseph Rutabo iliyopo Kamachumu, wilayani Muleba baada ya mabweni ya wanafunzi kuungua moto
Mabweni matatu ya wanafunzi shule ya msingi st...
Kiukweli huu mti upo highly endangered na kwa kuendelea kutoa zawadi ya vinyago vinavyotokana na mti wa Mpingo (African Blackwood) ni sawa na kuhimiza ukataji wa miti hii maana kwa kila aina...