Kipaumbele cha Taifa ni siasa au Katiba Mpya?

Kipaumbele cha Taifa ni siasa au Katiba Mpya?

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,649
Reaction score
2,805
Ndugu zangu nayaandika aya kwa masikitiko makubwa kuona nchi haina muelekeo kila mtawala anayekuja anakuja na sera yake utadhani nchi ni mali ya mtu binafsi leo sio Ccm wala chama kikuu cha Upinzani (Chadema) walio tayari kujielekeza kwenye hoja KUU yahani KATIBA MPYA ambayo ndio inaweza kutoa dira na mustakabari wa Taifa, kumbuka Ccm itakufa na Chadema pia lakini Tanzania itakuwepo daima.

Swali ivi nikipi tumekiandaa kuwaachia watoto wetu kama Taifa? Nivyama vya siasa au misingi bora yenye msingi imala wa Katiba? Mfano leo wazee wote wanaojua vyema mambo ya MUUNGANO mmekaa kimia mkijua kabisa njia tuliyonayo ya MUUNGANO Tanganyika na Zanzibar sio sahii [emoji12] Ivi mnayegemea mkifa kizazi hiki mnakiachia MUUNGANO upi?

Wazee wetu mko kimia uku mnaona Taifa linaongozwa kwa matamko badala ya sheria na Katiba! Kumbuka ninyi wazee mnatakiwa kuandaa majibu sahihi kwa Mungu maana uoga na njaa au ulafi wa mali ambazo mkifa mtaziacha umewapumbaza macho mmekuwa vipofu katika mioyo yenu.

NB:WanaJF tafadhali leteni nyuzi zenye kutoa taswira ya Taifa. Mungu ibariki Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Una mawazo mazuri, jitahidi ku- edit kabla hujabonyeza kitufe cha send
 
Back
Top Bottom